Kumbe hotuba ya JK ilikuwa ya Makamba

ismase

Senior Member
Feb 12, 2010
116
16
Hotuba ya mheshimiwa JK aliyoitoa kwa wazee wa Dar inasemekana iliandaliwa kimakosa na watendaji wake. kutokana na habari zisizo na uhakika inadaiwa kuwa hotuba hiyo iliandaliwa maalum kwa mh. Yusufu Makamba (katibu wa CCM) kwani ndio mzee anayoaminika kwa mipasho. Lakini katka hali isiyo ya kawaida, watendaji wa mh. Jk walimpatia mh. Rais mipasho hiyo nma kwenda kuitoa kama ilivyo bila yeye kungundua kuwa alichezewa rafu. Hata hivyo inasemekana mwishoni mwa hotuba hiyo, mh. alistuka kuwa ameingizwa mjini, ndipo alipoanza kusema "...tunawapenda sana wafanyakazi...serikali itajitahidi kuongeza mishahara kadiri ya uwezo.."
 
sasa Makamba ilikuwa akaiseme wapi hiyo hotuba, na iweje na kauli kama MIMI RAIS NDIO MWAJIRI NAMBA 1, hapo Makamba anaingiaje,
mbona hiyo ndugu yangu unataka kumwosha MWENZIO KWA MAJI TAKA
 
we nae vipi jhapo ulipo?
huyo jk alikuwa anaonekana anafurahia sana siku ile
tena mule ndani kulikuwa na kikundi kidogo cha kina mama wanaoshangilia na kumupandisha munkari jk na yeye akawa anazidisha
kwanza haikuwa hotuba kulikwa na dondoo tu cha kile alichokuwa anasema kwenye makaratsi yale ndo maana alikuwa anapayuka hovyo
 
Hotuba ya mheshimiwa JK aliyoitoa kwa wazee wa Dar inasemekana iliandaliwa kimakosa na watendaji wake. kutokana na habari zisizo na uhakika inadaiwa kuwa hotuba hiyo iliandaliwa maalum kwa mh. Yusufu Makamba (katibu wa CCM) kwani ndio mzee anayoaminika kwa mipasho. Lakini katka hali isiyo ya kawaida, watendaji wa mh. Jk walimpatia mh. Rais mipasho hiyo nma kwenda kuitoa kama ilivyo bila yeye kungundua kuwa alichezewa rafu. Hata hivyo inasemekana mwishoni mwa hotuba hiyo, mh. alistuka kuwa ameingizwa mjini, ndipo alipoanza kusema "...tunawapenda sana wafanyakazi...serikali itajitahidi kuongeza mishahara kadiri ya uwezo.."

Sometimes tujaribu kuwa serious wandugu.......Tuachane na ujinga huu(wa thread za ajabuajabu)
 
Points taken..........

1. Kumbe hotuba ya JK ilikuwa ya Makamba
2. kutokana na habari zisizo na uhakika

What is this rubbish??? Msitumie habari zinazohit kujipaisha majina yenu kwa thread bana watu wako serious na mambo haya
 
...kura yangu haitaenda kwa Kikwete, ukijumlisha na zile laki tatu za wafanyakazi si haba!
 
Babu ataka pewa msala. Ila nalo neno, msaidizi wa muungwana hotuba na mambo kama hayo si January Makamba? so LIKE FATHER LIKE SON :gossip:
 
Hotuba ya mheshimiwa JK aliyoitoa kwa wazee wa Dar inasemekana iliandaliwa kimakosa na watendaji wake. kutokana na habari zisizo na uhakika inadaiwa kuwa hotuba hiyo iliandaliwa maalum kwa mh. Yusufu Makamba (katibu wa CCM) kwani ndio mzee anayoaminika kwa mipasho. Lakini katka hali isiyo ya kawaida, watendaji wa mh. Jk walimpatia mh. Rais mipasho hiyo nma kwenda kuitoa kama ilivyo bila yeye kungundua kuwa alichezewa rafu. Hata hivyo inasemekana mwishoni mwa hotuba hiyo, mh. alistuka kuwa ameingizwa mjini, ndipo alipoanza kusema "...tunawapenda sana wafanyakazi...serikali itajitahidi kuongeza mishahara kadiri ya uwezo.."

.
Mie kambayuwayu ka JK bana, akili yako nachanganya na yangu.
 
maneno aliyokuwa akiyazungumza hasa yale ya mipasho wala hakuwa anayasoma ila alikuwa anayatoa mdomo kwake, alidhamiria kabisa
 
Kitu kama hicho hakiwezekani. Rais katangaza siku moja kabla mkutano na Wazee. Sio rahisi Rais asiipitie Draft ya hotuba. Any way if it is a joke then is ok.
 
Usituletee ubabaishaji kwani yeye ataenda kusoma hotuba ambayo hajaipitia unataka tuamini kwamba yeye ni Zumbukuku
 
Anataka tuamii kuwa ingekuwa ya Rais ingekuwa ya kiungwana.
hapo hamna kitu. aliyoyasema yote alidhamilia kuyasema.
 
Back
Top Bottom