Kumbe hii ndo maana ya fecebook!!!!!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
MM.jpg

Kumbe hii ndo maana halisi ya fb? Ni uzinzi mtupu!
 
Hapana facebook is the social network founded by Mark Z.

Hizo nucta kuna kipindi waliunganisha ikasoma mambo ya ki-freemanson

Only The Illuminat Succeed(OTIS)
 
Facebook its depends on how u use it, Mi inanitoa kibiashara kupitia group fulani ndani yake na linanikutanisha na watu 1200 ambao ni jinsia,rika na mataifa mbalimbali.Sitaitendea haki kwa kusupport idea yako maana hata viongozi wakuu na wanasiasa maarufu wanatumia facebook kuwasiliana.
 
Hapana facebook is the social network founded by Mark Z.

Hizo nucta kuna kipindi waliunganisha ikasoma mambo ya ki-freemanson

Only The Illuminat Succeed(OTIS)

nakuunga mkono mkuu lkn ni lazima ukubali kuwa hizo alama zina uhusiano wa kiukweli ata kisanii kati aliyezibuni na mgunduzi iwe kweli au isiwe kweli.
 
Facebook ni vle m2 bnafsi anavyoitumia though wengi wametumia kwa maovu na kuuza sura lakini wengne wametumia kwa issue za maana na wametoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom