Kumbe haya ndo mawazo ya JK?

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Pamj na mengi Jk akiongea na kina babu wa dsm kawaambia tumeendelea kwa ushahd wa kuwepo kwa ghorofa nyingi dsm.kisha wakamshangilia,akafurahi!!!
 
kwani unafikiri kuna chochote cha maana anachoweza kufikiria wakati uwezo wake umeishia hapo? Namkumbuka lipumba alisema msichague rais mswahili! Wamama wakaendelea na mivuto yao. I hate women because of their VAGINAL THINKING! Ndo maana cku zote anakimbilia kuongea na wazee kila jambo la maana linapotokea. Anajua wazee wa pwani hawafikirii maendeleo zaidi ya umaskini,njaa na hela ya kashata! Aongee upuuzi huo na vijana kama hawajamrushia viti. Watu wanaotaka CHEAP POPULARITY hawafai kabisa!
 
Back
Top Bottom