Kumbe Hawa Ma-DJs ni ndugu.

4.mbona nami mmenisahau pia mie ndio mdogo wao wa mwisho ni dj kijuso,tete tete tetet!
 
Watoto wa Mwanza hao wamekuja Dar wakubwa wewe..Bon Luv ndio kaja Dar siku nyingi...ulikuwepo wakati anapiga Kilimanjaro Hotel Pool Side.

Mwanza ni kwao, mimi niwajua hapa mjini longitime kwani wao ni nani wasijulikane. Boni namjua sana na hata yule sister yake Betina na wakati huo wanaishi na wazee wao.
 
sister yake tena daaaha we jamaa khatari kumbe mmetoka mbali eeeh
 
Mwanza ni kwao, mimi niwajua hapa mjini longitime kwani wao ni nani wasijulikane. Boni namjua sana na hata yule sister yake Betina na wakati huo wanaishi na wazee wao.

Wewe unasema watoto wa mtaani kwenu wakati VENTURE kama Dar miaka 98 kutoka kwao Igoma Mwanza huyu Bon namjua sana na Madisco yake yalikuwa anapiga zamani yote nimekwenda, Kilimanjaro pool side, Blue Pam, Latavena, mpaka saizi Mzalendo.
 
Na makosa yangu yapo wapi, nawajua sababu walikuwa jirani zangu na najua ni MaDJ ila hayo madisco yao sijaenda.
 
Watoto wa Mwanza hao wamekuja Dar wakubwa wewe..Bon Luv ndio kaja Dar siku nyingi...ulikuwepo wakati anapiga Kilimanjaro Hotel Pool Side.
ritz kumbe hadi huko umo mzawa!! haa haa haa kweli watoto wa mwanza hao ,ila Venture ameanza kunawiri kwenye udj akiwa arusha enzi za Mawingu Club badae Cluuds wakaiachia wakawa wanapiga Club hakuna matata aka Risk or ricks not so sure ila ilikuwa maeneo ya Philips -Arusha
 
Last edited by a moderator:

Mwakalinga si ujajua tena mambo ya mjini nakumbuka miaka ya 1999 wakati Mawingu wanapiga Kilimanjaro, kweli Venture Arusha ndio kaanzia... mkuu kumbe na wewe humo:clap2:
 
ritz nami nimo sana enzi hizo tunaifungua Mawingu Club miaka ya 1996/97 ilikuwa burudani kwani Bon Lover ndio aliyekuwa anafanya mambo pande zile za Kijenge.Nakumbuka nyimbo moja ilikuwa inatwa Bamiza-XPz ilirekodiwa na B.Lov pale Mawingu mwaka 1997 live ...nadhani ndio inayochezwampaka leo
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasema watoto wa mtaani kwenu wakati VENTURE kama Dar miaka 98 kutoka kwao Igoma Mwanza huyu Bon namjua sana na Madisco yake yalikuwa anapiga zamani yote nimekwenda, Kilimanjaro pool side, Blue Pam, Latavena, mpaka saizi Mzalendo.

We jamaa unazidi kunishangaza...kumbe huku nako uko? Nilidhani wewe ni wa kwaya tu za T.O.T, John Komba etc!
 
ritz nami nimo sana enzi hizo tunaifungua Mawingu Club miaka ya 1996/97 ilikuwa burudani kwani Bon Lover ndio aliyekuwa anafanya mambo pande zile za Kijenge.Nakumbuka nyimbo moja ilikuwa inatwa Bamiza-XPz ilirekodiwa na B.Lov pale Mawingu mwaka 1997 live ...nadhani ndio inayochezwampaka leo

Nakumbuka nyimbo zingine za mawingu walizorekodi za GWM, Kwanza Unite.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom