Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
labda wanalishana keki.. au walikosa visu na umma, au walikuwa wanafurahisha genge tu.. au kweli..
mhhh....hiyo nayo kali!! Sasa hapo ndo kinatokea nini? Sitaki kuamini kama ni kweli.......
hii nayo kali?
Kuuliza si ujinga USHAMBA!
Wachapeni bakora waache uchafu huo. Wakifanya hivyo wanaume watapata wapi wanawake ?
labda wanalishana keki.. au walikosa visu na umma, au walikuwa wanafurahisha genge tu.. au kweli..
Ni mama na mwana katika kulishana keki nadhani tusifikiria vibaya sna!
Hii picha imeniacha na mshangao ..kwani ....aaaaaaaaaagh oooops no!
Ni KICHEFUCHEFU!:A S 13: Heaven forbid!!!disgusting!!!