Kumbe Hamad kama Kafulia!

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Taarifa kuwa mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed ameamua kumwangukia msaliti Seif Shariff Hamad zinatia kinyaa. Kumbe naye hana tofauti na David Kafulia! Wengi walidhani ana hoja kumbe shida yake ni tamaa ya madaraka! Ingawa Kafulia na Hamad wamechemsha kwa kuangalia matumbo yao badala ya vichwa vyao, hii isiwape wakubwa zao jeuri ya kujiona hawana makosa. They are all rotten. Kumbe wanasiasa wengi wa upinzani hasa wanaoendekeza matumbo mavi kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom