Kumbe Hali ni Mbaya namna hii Bongo, sasa wanakula Punda

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
552628_127630954048472_1009298622_n.jpg
 
Watu wanakula huyo miaka mingi sana na si kwa kuwa hali mbaya. Kuna makabila Tanzania hayana mwiko kwa nyama aina yoyote ile, iwe Punda, panya, paka, mbwa, mbuzi, nguruwe, tembo, kenge, vyote ni kitoweo. You name it they eat it!
 
Hao wanaokula punda wanawala si kwa sababu hali ya Tanzania ni mbaya...bali wanakula because they want it.
 
75% ya Watanzania wana DIG kiti moto,
bila kujali dini au rangi
65% Wamesha kula Mbwa bila kujua,
wakidhani mbuzi,
51% Wamesha wahi kula Punda wakidhani,
Steak ya ng'ombe
40% wameshakula nyama ya Kima na ngedere.

Source Utafiti wangu wa miaka 30.
Mna Shangaa nini? CKN!- Cheka Kwa Nguvu
 
75% ya Watanzania wa DIG kiti moto,
bila kujali dini au rangi
65% Wamesha kula Mbwa bila kujua,
akidhani mbuzi,
51% Wamesha wahi kula Punda wakidhani,
Steak ya ng'ombe
40% wameshakula nyama ya Kima na ngedere.

Source Utafiti wangu wa miaka 30.
Mna Shangaa nini? CKN!

OMG,

Ya kweli hayo mkuu? Unataka kuniharibia swaumu yangu mkuu.
 
75% ya Watanzania wa DIG kiti moto,
bila kujali dini au rangi
65% Wamesha kula Mbwa bila kujua,
akidhani mbuzi,
51% Wamesha wahi kula Punda wakidhani,
Steak ya ng'ombe
40% wameshakula nyama ya Kima na ngedere.

Source Utafiti wangu wa miaka 30.
Mna Shangaa nini? CKN!

Mkuu hizi data za kweli au unatutisha tu?
 
pale kibaha picha ya ndege kuna jamaa alifikishwa mahakamani na kuhukumiwa baada ya kuthibitika pasipo kuacha shaka yeyote,,yeye alikuwa muuza nyama maarufu za bei na fuu hotelin na kwa mama ntilie,akidai za pori na kondoo na mbuzi,,,ila yeye alikua anauza nyama za mbwa,,,wanaogongwa na magari na wengine akiwakamata kwa njia mbalimbali,,,watu walikula sana,,,pia ukazushwa uvumi kuwa supu ya dog inaongeza cd4,wee watu walikula kwa hiari usiombe,,,maisha bwana,,,,,,,,,
 
habari mbaya kabisa hizi
 
Unajua source zote za Nyama?
Wateja hotelini huagiza chakula, lini umewasikia wakitaka kujua source,
Nimewahi kula supu ya mbuzi mwenye mifupa mikubwa kama ya ng'ombe.
Nikawajia juu jamaa pale hotelini na kuwambia yule hakuwa mbuzi ninataka maelezo.
Mwishoe ili kuua so waliniambia ni kweli si mbuzi bali ni ng'ombe nyama yake inapikwa kwa mafuta ya mbuzi.
Nikiwa njiani msafiri mwenzangu akanitonya nakusema ilikuwa nyama ya Pundamilia.Ninalo?
Nyama ya ngedere na mbuzi tofauti yake ni kwamba ya mbuzi ina harufu.
PIG wote tunajua analiwa vipi.
75% ya soseji zote duniani ni 100% PIG
Watu wanakula soseji 90% ya soseji zina more than 20% ya nyama ya PIG.
Baken zinaliwa sana ni pig 100%
Nyama ya mbwa ikichanganganywa na ya mbuzi ikapikwa supu? Bila bila, hata hushituki.
Mmekula sana chips za mafuta ya Transformer kisha mnashangaa kula Haramu??
Hii ni moja ya gharama za umasikini.

Mkuu unatisha
 
penis-emporium-donkey-ox-penises-copy.jpg
the long penis comes from an ox and the middle one from a donkeyThe first time I read about people eating them was back in September 2006. I was intrigued and from that time onwards, I have been wanting to taste them. I did see them on sale once, in the market in Sao Paolo but they were raw. I had to wait another couple of years to achieve my culinary goal and finally, this afternoon I visited thepenis emporium in Beijing.I will post a full tasting report with more pics as soon as I am back home but I thought I would immediately share my exciting, and fun adventure although I can't honestly say it was delicious. As you can see from the pictures of the yet to be prepared members, they are not the most appetizing things to have on a table, neither at a respectable distance nor close up!
penis-emporium-close-up-of-donkey-ox-penises-copy.jpg
 
Unajua source zote za Nyama?
Wateja hotelini huagiza chakula, lini umewasikia wakitaka kujua source,
Nimewahi kula supu ya mbuzi mwenye mifupa mikubwa kama ya ng'ombe.
Nikawajia juu jamaa pale hotelini na kuwambia yule hakuwa mbuzi ninataka maelezo.
Mwishoe ili kuua so waliniambia ni kweli si mbuzi bali ni ng'ombe nyama yake inapikwa kwa mafuta ya mbuzi.
Nikiwa njiani msafiri mwenzangu akanitonya nakusema ilikuwa nyama ya Pundamilia.Ninalo?
Nyama ya ngedere na mbuzi tofauti yake ni kwamba ya mbuzi ina harufu.
PIG wote tunajua analiwa vipi.
75% ya soseji zote duniani ni 100% PIG
Watu wanakula soseji 90% ya soseji zina more than 20% ya nyama ya PIG.
Baken zinaliwa sana ni pig 100%
Nyama ya mbwa ikichanganganywa na ya mbuzi ikapikwa supu? Bila bila, hata hushituki.
Mmekula sana chips za mafuta ya Transformer kisha mnashangaa kula Haramu??
Hii ni moja ya gharama za umasikini.

Dah!Kumbe bora niendelee tu na huu msimamo wangu wa kuacha kula nyama nyekundu (Red meat) kama hali ndiyo hii.Inatisha sana mkuu duh!!
 
Back
Top Bottom