Elections 2010 Kumbe EPA iliombwa na KIKWETE and LOWASSA!

Inasemekana hata marehemu Dk Ballali katika wosia wake ameandika kuhusu jinsi Mkapa alivyoidhinisha EPA kwa mafisadi chini ya uratibu wa fisadi papa Rostam Aziz. Hivi hakuna namna ya kuunasa huo wosia wa Dk Ballali?
 
Ivi unajua ata Yesu kuna mambo alikuwa akisema usimwabie/usiwaambie watu ndo yalikuwa yakienea zaidi
Angalau nimepata connection ya strong ties kati ya JK na EL
 
Wao waliomba pesa kwa Mkapa na Mkapa ndo akatafuta njia ya kuwasaidia na akaona ni bora kutumia hela za EPA. Je, JK na EL walijua pesa zilikotoka kwa wakati huo? Kama jibu ni hapana wa kulaumi ni Mkapa au JK na EL?

Marando afyatua kombora Jangwani

Alipotakiwa kufafanua walikiukaje maadili hayo Mhando alisema: “Walikuwa hawazungumzi sera bali walikuwa wanatukana. Kama ulikuwa unafuatilia matangazo yetu utajua ni namna gani walivyokuwa wakitukana”.

Hata hivyo, Mhando alisema baada ya kuwasiliana nao na kuwakumbusha juu ya makubaliano hayo walirejesha matangazo hayo hewani. Katika hotuba yake alisema kumfunga Amatus Liyumba pekee yake siyo dawa ya kumaliza ufisadi nchini, bali viongozi hao ndiyo wanaotakiwa kufungwa.

Alisema wamemfunga Liyumba ili waonekane kwa wananchi kwamba wanapiga vita ufisadi. "Jamani hivi fedha zote zilizoliwa pale Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ni Liyumba pekee yake aliyeziiba? Tunajua ametolewa kama mbuzi wa kafara," alisema Marando.

Source: Mwananchi and Marando Jangwani

Marando

"Tunajua Kikwete na edward Lowasa waliomba hela za uchaguzi kutoka kwa Mkapa akachote BOT"

My Take:

Hii Nchi inaliwa bila ya sisi kujua
Mtu anakaa madarakani kumbe ni mwizi? Kweli bado watanzania bado akili lala
 
Wewe peke yako ndio hujui haya yamesemwa sana kwenye viombo vya habari.
Hapa pana kazi!
Mhando mtamuonea tu, yeye nae anatetea kitumbua chake! hana ujasiri wa kiume wa kuona nyeusi na kuiita nyeusi!
 
Chama Cha Majambazi!!! Kagoda, mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!! Amost 40 billion ila zikawasilishwa less than 10 billion? Si ndio mshutuko ukaanzia hapo? Hizo 30 billion zilienda wapi? Ubaya ni kwamba mnapokabidhiana kwenye chain hakuna maandishi hivyo kila mkono ambazo zilipita zilipigwa panga na hatimaye kufika mezani less than 10 b, kitu kama 5 hivi?!!!!! Main Contractor, RA!! Draw the dotted line to plot EL, RA, JK!!!!
 
Nyambafuuuu tbc1..........................tunasubiri nini kumkamata kikwete na lowasa na kuwawajibisha?????????????
Kweli kuna watznzania nchi hii...au wote sio raia yaani ni wahamiajai kwa hiyo tuna uraia wa kuomba sio wa kuzaliwa........

Sipingi, ila nikuulize tu, hivi unajua maana ya kuomba? sikunakukubaliwa au kukataliwa? Mbonw yule aliyeombwa humzungumzii. Upofu mwingine bana, AGGGHHHHH
 
Chama Cha Majambazi!!! Kagoda, mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!! Amost 40 billion ila zikawasilishwa less than 10 billion? Si ndio mshutuko ukaanzia hapo? Hizo 30 billion zilienda wapi? Ubaya ni kwamba mnapokabidhiana kwenye chain hakuna maandishi hivyo kila mkono ambazo zilipita zilipigwa panga na hatimaye kufika mezani less than 10 b, kitu kama 5 hivi?!!!!! Main Contractor, RA!! Draw the dotted line to plot EL, RA, JK!!!!

siku itafika watanzania watakapomchukua sheria mkononi kuwafuata walipo ndo watakapojua
 
nataka mjue EPA ni suala linaloshughulikiwa kama maswala mengine EPA,MIKATABA YA MADINI,RICHMOND, na mingine mnayoijua nyinyi WAPINZANI inashughulikiwa tena katika hili CCM AWAMU YA NNE HAITANII HATA KIDOGO......... KIKWETE ATAPITA TENA KWA KISHINDO halafu mutashaaaaaaaa...............

KWANZA MJUE TU LIUMBA SIO MHALIFU KATIKA EPA,LAKWAKE LILIKUWA BOT MAJENGO PACHA....nataka mujue hilo....kelele ni jadi yenu, kwani sikio la kufa halisikii dawa...... nyine ni wafa maji hamtaacha kutapatapa katu!

MIKATABA YA MADINI hamlisemi au kwa kuwa ZITTO KABWE NI MJUMBE katika hilo? au kwa kuwa limeshughulikiwa? kuweni na uzalendo wa kweli i mean true solidarity and intergrity

mzee MTEI ANAUZALENDO NA NCHI HI? nawakumbusha tu kidogo pale alipotibua BANK OF TANZANIA MIAKA ILE YA 1970Ss mpaka 1980s akakimbilia AMERICA, IMF NA KUKWAMISHA MPANGO MZIMA WA JINSI YA KUINUA UCHUMI WA NCHI YETU, ALILIFICHA FILE LA NCHI YAKE BILA HAYA NA AIBU, TU LISIJADILIWE NA UONGOZI WA JUU WA IMF, HAKUSITA AKAFANYA HIVYO MPAKA WORLD BANK,HUYO NDIO KIFIMBO WA CHADEMA, kwa kuwa KELELE JADI YENU,,, all de best

MWAMBIENI SLAA ANAPOPIGA KELELE ZA UFISADI AJEU NA HATA MZEE MTEI alikuwa FISADI NA BADO ANAENDELEA na UFISADI ndani ya chama chake yeye kama muasisi wa CHADEMA.
 
Labda mwaka huu aibe hizo kura JK mwaka huu hakubariki
 
Sijui kwa nini mafisadi wa ccm wanapenda kuandika kwa kutumia herufi kubwa?
 
Kikwete na Lowassa wakaturejeshee fedha za EPA pamoja na riba juu na hapo ndipo CCM kitakapoanza walau kujivua japo gamba la kwenye ukucha!!!!
 
Hebu taratibu kwanza bwana mzee. Hoja yako hasa nini kwa ajili yetu hapa JF??? Kumbuka usije tu hapa JF eti kwa sababu CCM kimewaagizeni nanyi mje na kuanza kuharisha hovyo bila point yoyote hapa; mtaadhirika kweli kwani wala si sehemu pa kupigia tu kelele kam hizi zako.

Tuambie kituo kwa kituo jinsi gani EPA inashughulikiwa na kwamba Watanzania tutarajie lini fedha zoooote kurudishwa pamoja na riba ya kuikosesha serikali miaka yote hiyo kutumia fedha hizo.

Hili la Kikwete kuchaguliwa tena - napata shida kidogo hapa; ama uko baa au haukusudii ujumbe huu kutufikia hapa JF isipokua tu ilikua ni kama ajali vile. Kama hamjui namna ya kutandaza hoja zikasimama zenyewe tu bila kelele nyingi basi chukueni ushauri wa kupitia kwanza Threads na Posts nyingine za wenzetu hapa kwanza ili mpate kujifunza.

Enyi wenye Viji-Post 100 kurudi chini mliotumwa na CCM-Gamba mjue kwamba hapa JF bado tunawasomeni kwa umakini sana jinsi mnavyokatisha ovyo ovyo tu bila hata kupiga hodi wala salamu.

Back
Top Bottom