Kumbe educated black men are like precious metal

Bao3

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
318
26
If you are a black woman with an advanced degree, there's a good chance you've never been married.

New research from Yale University suggests that highly educated black women are twice as likely to have never been married by the age of 45 as white women with similar education.

Hannah Bruckner, who leads the Center for Research on Inequalities and the Life Course at Yale University, says the disparity can be partly explained by a difference in dating preferences between some black men and women.

"Black men are more likely to marry outside of their race, and black women are more likely to marry outside of their education," she says.

Bruckner says that is compounded by tough competition for a smaller pool of highly educated black men. more?: http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=112550626
 
If you are a black woman with an advanced degree, there's a good chance you've never been married.

New research from Yale University suggests that highly educated black women are twice as likely to have never been married by the age of 45 as white women with similar education.

Hannah Bruckner, who leads the Center for Research on Inequalities and the Life Course at Yale University, says the disparity can be partly explained by a difference in dating preferences between some black men and women.

"Black men are more likely to marry outside of their race, and black women are more likely to marry outside of their education," she says.

Bruckner says that is compounded by tough competition for a smaller pool of highly educated black men. more: http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=112550626

certainly YES,...........AND CERTAINLY NO!
 
Ungeelezea kidogo ungekua umetupa picha ya nini unachomaanisha mkuu. Kwa upande wangu nafikiri ni wanaume wachache(black) waliosoma. Hiyo sio sababu ya kuoa wanawake waliosoma,wengi wao unakuta wanapoendelea na elimu ya juu(Graduate studies) wanakua either tayari wana wachumba wao home(who are less educated than they are) au wameshaoa. Na akina dada ambao wameamua kuendelea na elimu hata kama alikua na mtu home anaishia kutendwa tu,jamaa anaoa mwingine during her schooling. That's my take!
 
Thanks Kibongoto, we need more kuliko kukubali nusu na kukataa nusu

Anyway, nadhani its more obvious kwa wanawake wanaochagua career na proffession kwani huonekana kuwa more focused na maendeleo yao wakati expectations zetu wanaume ni kwa wao kuwa focused zaidi na family.

Its difficult and challenging kwasababu kuna kiasi kikubwa kwasababu women are always more committed to what they do and if they follow that professional route they usually sink in deep

Kuhusu wanaume, sina cha kusema ila nafahamu an educated and successful men a re few and easily become center of attraction
 
Ni kweli,ila ninaogopa kwamba tunaoongea hayo ni sisi wanaume,wenyewe wanaichukuliaje Kauli hiyo? Inawezekana kabisa wana mtazamo tofauti kabisa na huu wa kwetu sisi wanaume. Enjoy your week end!!
 
lakini ndiyo ukweli wa mambo Boss. Wanawake wasomi wa Marekani weusi wengi wanapenda kuolewa na weusi wenzao lakini asilimia kubwa wako jela, uneducated na wanajishughulisha tu na madawa ya kulevya au muziki.

Miezi michache iliyopita nilisoma habari iliyoandikwa na mwanamke mmoja mweusi Mmarekani ambaye alikuwa chuoni. Alidai kwamba chuoni kwao kuna gap kubwa kati ya Wanafunzi weusi wa kiume ukilinganisha na idadi ya wanawake. Na wanawake weusi hapo chuoni wengi wangependa kuwa na maBF weusi sasa kumekuwa kama na makubaliano ya kinamna njemba mmoja mweusi anaweza kuwa na hata maGFs watano na wanawake hao hawatii neno maana wanajua kwamba wanaume weusi hapo chuoni ni adimu na wote wanataka kuunganisha na weusi wenzao. I hope wanatumia protection maana wakigusa mawayawaya basi itakuwa ni kilio cha kusaga na meno.
 
Loh,that's really sad!
 
Kuna sehemu zingine hasa kwa Marekani, ambapo ratio kati ya wanawake na wanaume wenye careers za kueleweka ni 11:1. Sasa hapo wewe ukiwa mwanamme pool yako inakuwa kubwa sana kiasi kwamba kwa wakati mmoja unaweza kuwa hata na mademu wanne. Wakati mwingine nawaonea huruma sana mademu aisee hasa wale walioko kwenye mid 30s.
 
For those not in the know this is an age old social problem between the sexes.
Make two assumptions that stand in almost all societies
-MEN usually marry women who are of their own social status or any status below
them
-WOMEN usually marry men who are of their own social status or any status ABOVE
them
From the two scenarios it is clear that the marrying domain facing men gets wider as ones status increases in society.
On the other hand a womans domain gets smaller and smaller as her social status increases.
 
True and Fantasitic
 
hii ni kweli muzee, nimeipenda sana.
 
lakini ndiyo ukweli wa mambo boss. Wanawake wasomi wa marekani weusi wengi wanapenda kuolewa na weusi wenzao lakini asilimia kubwa wako jela, uneducated na wanajishughulisha tu na madawa ya kulevya au muziki.

miezi michache iliyopita nilisoma habari iliyoandikwa na mwanamke mmoja mweusi mmarekani ambaye alikuwa chuoni. Alidai kwamba chuoni kwao kuna gap kubwa kati ya wanafunzi weusi wa kiume ukilinganisha na idadi ya wanawake. Na wanawake weusi hapo chuoni wengi wangependa kuwa na mabf weusi sasa kumekuwa kama na makubaliano ya kinamna njemba mmoja mweusi anaweza kuwa na hata magfs watano na wanawake hao hawatii neno maana wanajua kwamba wanaume weusi hapo chuoni ni adimu na wote wanataka kuunganisha na weusi wenzao. I hope wanatumia protection maana wakigusa mawayawaya basi itakuwa ni kilio cha kusaga na meno.

halafu wakiambiwa wajaribu poligamy hawataki,wakati in reality wanapractice polygamy...
 
Back
Top Bottom