Kumbe Dr. H.Kigwangala ni Mbunge wa Shinyanga!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,452
Nasikiliza redio yetu pendwa ya Clouds FM mchana huu, mtangazaji ametutangazia habari njema kuwa siku ya Jumatatu, tutakuwa live na Mhe. Kigwangala ambaye ni mbunge wa Shinyanga!.

Hii ni redio yetu na hawa ndio watangazaji wetu!.

Kwa msiofahamu fani ya utangazaji, ukisikia tangazo lolote kwenye TV au Redio ujue hicho unachosikia kimeandikwa kwa maandishi kabla ya kutangazwa!. Hivyo alichotutangazia mtangazaji ni kile alichoandikiwa!.
 
I wouldn't make a big deal about it. I give them the benefit of the doubt that that was just an honest mistake.
 
Back
Top Bottom