Kumbe Dr Asha Rose Migiro ni chaguo la Kikwete!

Mkuu Arafat.

Ukisoma vizuri bandiko langu#1 usingeuliza authority ya hao vijana labda nirahisishe kidogo.Marafiki zangu wapya ni vijana kwa tathimini ya haraka haraka wanaonekana wanajua siasa za Tanzania,wanaonekana ni vijana wanaofanyakazi zenye kipato cha wastani na wana elimu ya kawaida pia ujanja ujanja wa mjini wanaujua hasa.

Kuhusu kuwatetea magamba watatu pengine niseme wazi Arafat pamoja na kujiunga na JF siku nyingi bado unaonekana ni mgeni wa misimamo ya Ngongo.Siwezi hata siku moja kuwatetea mapacha watatu laiti ingekuwa ni amri yangu ningeshawapoteza siku nyingi.

Kama hadhiti vile!

Anyway tupe authority ya hao vijana ulikuwa unajadiliana nao kwanza alafu niambie kwanini nisiseme wewe hoja yako hapa juu ya Mapacha na magamba wala si lolote na si Rose Migiro!?
 
hilo ni chguo lake yeye kama jakaya mrisho kikwete alakini sio chaguo la kamati kuu ya sisiemu na watanzania!!!!!
 
Mkuu Massai.

Hiyo kamati kuu ya CCM nani kaichagua ?.

hilo ni chguo lake yeye kama jakaya mrisho kikwete alakini sio chaguo la kamati kuu ya sisiemu na watanzania!!!!!
 
Ho! hawa wamefanya haraka. Janja yao kwisha gundulika. Wakati ule wa kuchakachua, kumpata spika, walifanya siri sana kuwa, watasimamisha mgombea mwanamke. Ndo maana aliekuwa former spika bwana 6, wakati mmoja anahojiwa na ITV, bada ya uchaguzi, kuhusu agenda kama alikuwa na habari kuwa wangesimamisha spika mwanamke, akajibu kuwa hawakuwa na habari, otherwise, angetoa jina lake. Waliipata hiyo issue siku moja kabla. Na akaongeza, namnukuu " You can not change to a woman over night". Sasa hii imejulikana mapema, watu watabadilisha jinsia nakuambia. Kwa jinsi jamaa walivyo na usongo wa kukalia kiti mzee, tusubiri tuone. Yangu macho!....
 
Ha ha ha ha Mambuchi umenifanya nicheke mwenyewe ka kichaa.Ok kama umestukia janja yao wanaweza kubadili mbinu wakaja na hii "Safari hii ni zamu ya Zanzibar".Jamaa wa magogoni wanjanja kweli kweli badala ya kupanga mipango ya kumkomboa mTanzania dhidi ya maadui wanne Ujinga,Maradhi,Umaskini na Ufisadi wanapanga safu za kututawala.

Ho! hawa wamefanya haraka. Janja yao kwisha gundulika. Wakati ule wa kuchakachua, kumpata spika, walifanya siri sana kuwa, watasimamisha mgombea mwanamke. Ndo maana aliekuwa former spika bwana 6, wakati mmoja anahojiwa na ITV, bada ya uchaguzi, kuhusu agenda kama alikuwa na habari kuwa wangesimamisha spika mwanamke, akajibu kuwa hawakuwa na habari, otherwise, angetoa jina lake. Waliipata hiyo issue siku moja kabla. Na akaongeza, namnukuu " You can not change to a woman over night". Sasa hii imejulikana mapema, watu watabadilisha jinsia nakuambia. Kwa jinsi jamaa walivyo na usongo wa kukalia kiti mzee, tusubiri tuone. Yangu macho!....
 
Tanzania kuongozwa na Mwanamke!!! Sijui.

Sio kama hawawezi bali mila za kiafrika zinakataa na wananchi wengi mpaka leo bado wanazo.

Tuvute subra tuone.

Africa ipi unayoongelea mkuu, una maanisha Tanzania, Zanzibar ama wapi? Mbona Liberia ni Africa pia, ama yule mama president ni DUME?
 
Hao marafiki zako wapya walikuwa wanasumbuliwa na shibe tu hivyo wakakoswa maneno ya kusema.
 
Hata akiwa chaguo la JK, hiyo ni kwa upande wa CCM. Anaweza akashinda mchujo wa CCM halafu akagaragazwa kiulaini kabisa na wananchi katika uchaguzi mkuu! CDM andaeni mgombea mzuri, wao kule 'ni zamu ya mwanamke', sisi huku ni 'mgombea bora'
 
Mkuu Jabulani.

Mawazo yako mazuri.

Hata akiwa chaguo la JK, hiyo ni kwa upande wa CCM. Anaweza akashinda mchujo wa CCM halafu akagaragazwa kiulaini kabisa na wananchi katika uchaguzi mkuu! CDM andaeni mgombea mzuri, wao kule 'ni zamu ya mwanamke', sisi huku ni 'mgombea bora'
 
Duh wakuu MODS noma kweli wamenyofoa post kibao sijui wametumwa nani ?.
 
Mkuu NgumiJiwe,

Post ya Kayanga iliweka wazi kila kitu ajabu MODS sijui wameshalamba kitu kidogo wameinyofoa haraka labda kwa maelekezo ya magogoni.Kibaya zaidi wamehamisha jukwaa la siasa hadi chit chat.Hivi MODS mbona roho mbaya au mnataka story za MMU.

duh post ya Kayanga imeshanyofolewa tayari..Kwanini mnapenda kufisha ukweli wakuu?
 
Kwahiyo mtandao wa Dr Asha Rose Migiro umeshatia nanga Jamiiforums.

duh post ya Kayanga imeshanyofolewa tayari..Kwanini mnapenda kufisha ukweli wakuu?

Duh wakuu MODS noma kweli wamenyofoa post kibao sijui wametumwa nani ?.

Mkuu NgumiJiwe,

Post ya Kayanga iliweka wazi kila kitu ajabu MODS sijui wameshalamba kitu kidogo wameinyofoa haraka labda kwa maelekezo ya magogoni.Kibaya zaidi wamehamisha jukwaa la siasa hadi chit chat.Hivi MODS mbona roho mbaya au mnataka story za MMU.
 
Mkuu NgumiJiwe,

Post ya Kayanga iliweka wazi kila kitu ajabu MODS sijui wameshalamba kitu kidogo wameinyofoa haraka labda kwa maelekezo ya magogoni.Kibaya zaidi wamehamisha jukwaa la siasa hadi chit chat.Hivi MODS mbona roho mbaya au mnataka story za MMU.

Ngongo;unajua bado kidogo nii save ile post maana zile data ni noma.Lakini nakumbuka inshu tatu muhimu alizozi highlight Kayanga na nadhani ni kweli kabisa na ndiyo maana ile post ikaondolewa fasta.
Mmewashika pabaya mkuu!
 
ngoja tusubiri burudan ndani ya ce-ce-m, ili kuua makundi mengine anaweza kusema ni zamu ya mwanamke kuongoza

nataka kusema akimchgua huyo mama, itakuwa kaburi la ccm, kwani mapacha wa3 hawatakubali, watapigana hadi tone la mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom