Iza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 2,026
- 612
Kuna tatizo lipi Dowans ikiwepo UAE, Costa Rica, Tanzania na kwingine kokote?
Tatizo siyo mahali ilipo/au kuanzishwa suala ni uhalali wake (kisheria) wa kupata hayo malipo,na pia watu walioingia hiyo mikataba ni kweli waliliwakilisha Taifa au binafsi? na kama ni binafsi kwanini hawachukuliwi hatua kwa kuliingiza Taifa katika deni hilo? je, hakuna ushahidi kuhusu hili au mamlaka zinazohusika zimekuwa-comprised..?