Kumbe Deodorant tunazotumia nazo zina madhara yake

Kama hayajapandwa kwenye ardhi yenye kemikali za sumu. Unajua kinachokula kimetoka wapi??
Hayo unayajua wewe mkuu. Wewe unajua kila kinachochokuzunguka kimetoka wapi? Mimi Imani yangu tokea utoto Matunda na Mboga ni chakula salama na chenye kuleta nguvu na afya mwilini. Hayo mengine sihitaji kujua...peleka TBS au kwa Mkemia Mkuu.
 
Mboga za majani na matunda.

mboga za Majani za Mijini zote zina madhara maji ya kumwagiria Machafu pia hatumia Mbolea za Chumvichumvi..Matunda mengi hapondwa na kukuza kwa Mbolea za Madukani kilakitu sikuizi kina Madhara kwa Binadamu pole
 
Mboga za majani na matunda.

Acha kujidanganya ndugu yangu mboga za majani labda kama umelima nyumbani kwako,
otherwise si salama na matunda ndio kabisaaa,uliona wapi mwembe unazaa baada ya
miaka mitatu?mchungwa miezi tu,hakuna salama ndugu,mtumaini Mungu tu utakuwa salama.
 
Sijui mnaopingana na mimi kuhusu suala la Mboga za majani na matunda kuwa ni salama mnaanzia wapi bila kupata ukweli juu ya Hilo. Hizo mboga za majani nina bustani nalima pembeni ya nyumba yangu. Tatizo letu Watanzania wengi ni wavivu hata mboga za majani unataka ukanunue..utaachaje kulishwa ma.vi?
 
Mboga za majani na matunda.

Hivi Zile Dawa zinazopuliziwa na kufanya Matunda yasioze mpaka kufika Sokoni zinaitwaje vileee?

Anyway THIODAN miaka ile sasa hivi wanatumia Ngao ya kuua mbu kwenye mboga..

Na kama unalima wewe hakuna madhara ila huwezi kunidanganya hujawahi kwenda Sokoni au kula hotelini
 
Tuombe Mungu atuepushe na haya madhara lakini tusijidanganye kuwa tunaweza kuepukana na madhara ya chemicals,ina maana mtoa mada we hata soda hunywi au ka-bia angalau kamoja kwa mwezi?
 
Tuombe Mungu atuepushe na haya madhara lakini tusijidanganye kuwa tunaweza kuepukana na madhara ya chemicals,ina maana mtoa mada we hata soda hunywi au ka-bia angalau kamoja kwa mwezi?
Hilo nalo neno, cha msingi unaelewa kuwa soda na kabia vina kemikali, that's all. Kuliko asiyejuwa hivyo ukimwekea maji na soda achaguwe kipi bora atachagua soda!
 
Ruksa kutumoia chochote sikuhizi! ukitaka kuchagua sababu ya madhara basi hutoweza tumia kitu hapa duniani, hata The Wacko Jacko alichagua weeee mpaka hewa ya ku breath lakini mwishowake katuwachia dunia yetu tunakukuruka nayo!:baby:
Ref: LIWALO NALIWE!
 
Mkuu naona unapotosha, kwanza Kwa Remmy hakuna bonde wanalolima mbogamboga na matunda, na ni Urafiki gani unayoizungumzia iliyopo karibu na Kwa Remmy??? Kajipange bwana

Mboga nyingi zinazouzwa Dar zinamwagiliwa na kuoshwa na maji taka, sewage! Nenda kule Sinza ukashuhudie; bonde la Kwa Remmy na nyuma ya Urafiki.
 
Ni kweli kuwa deodorants tuazotumia zitokanazo madukani zina madhara makubwa sana. Huwa zinakuwa na Aluminium salts ambazo huwa zinakuwa zikinyonywa na ngozi kupitia vile vitundu. Hii ni hatari sana kwa sababu vile vinjia vinakuwa vikiziba na ule uchafu ambao ungetakiwa kutoka kwa njia ya jasho unakuwa unashindwa kutoka na ile sumu Aluminium salts zote zinarudi kujikusanya na baadaye husababisha breast cancer(kansa ya titi). Na hili tatizo linatokea pia kwa wanaume. Nawashauri watu wasiwe wanatumia tena hizo perfumes na deodorants. Madhara yake husababisha malilioni ya shilingi kutumika kwa ajili ya kufanyiwa operation ya ziwa. Products muhimu za kutumia zipo ambazo zimeandaliwa kwa kutumia mimea ya asilia na kuthibitishwa kutokuwa na madhara mfano ALOE EVER-SHIELD DEODORANT STICK.
Tuwasiliane kwa ajili ya hizi products muhimu kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162
 
Back
Top Bottom