Kumbe Chimpazees nao mabingwa wa kuhonga?

Ila hii leo tumekatwa, da huyu aliyefanya hii research katukomoa kweli kweli. Maana leo wote wamechachamaa na bado wengine kwa job leo hakyanan tumeliwa.
 
Huyu kibonge hapa naona basi atakuwa anagawa karibu nyama yote maana hivyo vitu anavyopakuliwa si kawaida.

Huwa najiuliza, sijui huyo Dada gorilla anaweza kulinganisha na dada gani hapa JF.

Ngoja niwaachie wanaume wafanya utafiti wa hapa JF ili waisivie mvua iliyo wanyeshea.

Huo utafiti kweli ni kiboko. Anyway, binadamu na hawa wanyama hatuna tofauti kubwa. Labda wamesoma kutoka kwetu.

https://www.youtube.com/watch?v=YBhMhn4Y57E&feature=related

Ha ha ha kaka yangu!
Huyo gorilla lazima awe ametoa si nyama tu na ndizi juu, yaani anembenjua hivyo mdada wa watu, kabadilisha style mara tatu aisee.

Halafu mimi nafikiri sisi ndio tumewaiga hao wanyama, maana sisi twajificha behind 4 walls lakini tuna access ya kuwaanalia wao.

Wakati unawarecord, ulikuwa okay? Maana nimenotice camera inashake; kulikoni kaka yangu? LOL
Boflo come this way uone jinsi HeGorilla anavyo mu-wound binti gorilla.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, dada yangu, mambo ya YOUTUBE hayo.

Mie na USA wapi na wapi? Naota siku moja kufika Miami, basi na ndoto yangu itaishia hapo.

Huko Atlanta wanafika watu wenye connection zao. Pia ukiangalia jina la muweka film, anajiita Staciderosso na kaweka hadi film za watoto wake naona. Atakuwa mcha Mungu sana.

Huyo Dada naona kashasoma sana vitabu vya Kamasutra..... Ndiyo maana sijawahi kutembelea Zoo zaidi ya kupita pembeni mwa bustani ya Wanyama Tabora. Bahati mbaya sana kwa sasa ina hali mbaya mno. I wish watu wa Tabora tungejipanga na kuangalia jinsi ya kuisaidia hii ZOO yetu iliyo katikati mwa mji.
Boflo masikini akiona hiyo Video, atalia kwa WIFU (ile ya kichaga).
Ha ha ha kaka yangu!
Huyo gorilla lazima awe ametoa si nyama tu na ndizi juu, yaani anembenjua hivyo mdada wa watu, kabadilisha style mara tatu aisee.

Halafu mimi nafikiri sisi ndio tumewaiga hao wanyama, maana sisi twajificha behind 4 walls lakini tuna access ya kuwaanalia wao.

Wakati unawarecord, ulikuwa okay? Maana nimenotice camera inashake; kulikoni kaka yangu? LOL
 
Last edited by a moderator:
mie siku hubby wangu akija hata na sabuni ya lux! nampaaaaa mpaka anakinai, au birthday yangu aninunulie hata pichu ya kufuma tu, nampaje sasa!! anapima oil mpaka anakinai! lol, acheni ubahili, msijifanye eti equl rights wakati mnakulaga bila kubakiza kiporo! wapi Zinduna???

Shostito cacico, nyingine za moto, wanaume wa siku hizi wakikuhonga, ujiandae ndugu yangu zitakutokea puani maana atafanya kama anakomoa, lazima akamate konyagi na valuu kwa kwenda mbele kabla ya mchezo
 
Last edited by a moderator:
Shostito cacico, nyingine za moto, wanaume wa siku hizi wakikuhonga, ujiandae ndugu yangu zitakutokea puani maana atafanya kama anakomoa, lazima akamate konyagi na valuu kwa kwenda mbele kabla ya mchezo
umeona eeeeee tena mpaka toilete atakusindikiza ili usitoroke! wakati ma-chimpazees wanahonga leo, mchezo keshokutwa! kaaaaaaaz kwel kwel!
 
Shostito cacico, nyingine za moto, wanaume wa siku hizi wakikuhonga, ujiandae ndugu yangu zitakutokea puani maana atafanya kama anakomoa, lazima akamate konyagi na valuu kwa kwenda mbele kabla ya mchezo

Sio kuhonga tu, wewe hukusoma juzi mtu anasema anapokuwa na mkewe anahakikisha robo ya mahari ililipwa per nite.
 
Last edited by a moderator:
Proved ni kwamba Chimps ni madomo zege, hawajui kupiga sound,
So lesson ni kwamba, kama huwezi kupiga sound we honga tu, hamna tatizo, ila siye tunaojua kusomesha tuendelee na sound zetu, kuhonga tuwaachie 'sokwe'(hapa I mean sokwe wanyama na sokwe watu)
 
But kama budget haiharibiki 'kuhonga raha'....lol
mradi upate unachokitaka lol
 
Wewe kiswahili hicho wewee
usifikiri kinyamwwezi unabwabwaja tu....lol
sema wakunaji na sio wakunwaji lol

Kuna mtu alisema kipele kimepata wakunaji (wakunaji alimaanisha wadada, kipele ni topic), ndio maana nikaulizia wakunwaji aka wachunwaji!
Got it?
 
Kuna mtu alisema kipele kimepata wakunaji (wakunaji alimaanisha wadada, kipele ni topic), ndio maana nikaulizia wakunwaji aka wachunwaji!
Got it?

mkuna na mkunwaji nani anaepata raha zaidi? lol...
 
Hahahahahahahahahah,

Namwonea huruma Bibi ambaye alikutana na jitu ambalo halijawahi kuhonga hata siku moja....

Anyway, ndo maisha hayo.....

Ndo maana kulikuwa na ile story ya kiongozi wetu ambaye alitakiwa kuwazidi wote kwa kila kitu!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom