Kumbe Burundi ni kuzuri hivi

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Leo nilifanya Ziara ya Burundi na rafiki yangu na tulitembelea miji ya Mabanda, Makamba na Bujumbura. Kwa kweli wenzetu wamejaaliwa kwa kua na wanawake wazuri. Jamani yaani hadi vijijini unawakuta mabinti wazuri ajabu kilichonishinda hapo ni Lugha tu. yaani wanaongea Kirundi kiswahili wala kiingereza hawawezi hapo nimepata taabu sana yaani hadi naondoka moyo wangu unauma. Naapa ntarudi tena Burundi kutafuta mke wa kuoa
 
Lakini kumbuka pia, jiandae kununua godoro lenye plastki cover
 
ungepitia mpaka wa kobero/kabanga, wilayani ngara wala usingehangaika kuvuka burundi next time! Wahangaza wa ngara wazuri zaidi na lugha hutahangaika! Mi nimeoa huko na sasa niko kwenye majadiliano na mke wangu aniruhusu niongeze mwingine, si unajua mila ya mtoto wa africa? (hata Zuma anajua)
 
Me nilifikiri unazungumzia uzuri wa maendeleo,kumbe vicheche?unahitaji maombi wewe.
 
Naenda Bujumbura eeeee, safari yetu ya Bujumbura (Vijana Jazz enzi hizo enzi za Ahmed Manet) umenikumbusha ngoja ni sikilize sasa hivi huo wimbo
 
Si ungeenda madanguroni? au hamna maana wale hawaitaji lugha we unaonyesha pesa tu
 
Kaka basi kama ukifanya ziara pia katika nchi Rwanda siamini kama utarudi coz' watu wa huko utazani wameshushwa/wamefyatuliwa ni wazuri ajabu, but mtegemee sana 'MUNGU' katika kupata mke, (mawazo yangu)
 
Hili ndio tatizo letu wa Tz, wenzetu wanaenda kutafuta uwekezaji sisi tunatafuta kuwekeza kwenye Ngono. Haya mkuu kila la kheri na ukipata ngoma utuambie uzuri wa ngoma ya Burundi.
 
Leo nilifanya Ziara ya Burundi na rafiki yangu na tulitembelea miji ya Mabanda, Makamba na Bujumbura. Kwa kweli wenzetu wamejaaliwa kwa kua na wanawake wazuri. Jamani yaani hadi vijijini unawakuta mabinti wazuri ajabu kilichonishinda hapo ni Lugha tu. yaani wanaongea Kirundi kiswahili wala kiingereza hawawezi hapo nimepata taabu sana yaani hadi naondoka moyo wangu unauma. Naapa ntarudi tena Burundi kutafuta mke wa kuoa

Lo!!! yaani kizuri ulichokiona ni wanawake. Ndio zawadi ya uliyoleta kwa familia yako na jamii forum. Kumbe watanzania bomu. Umeniacha hoi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom