Kumbe bifu la JK na Mbowe alisababisha Tambwe Hizza

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
siku moja JK, na Tambwe Hizza pamoja Rostam, walikwenda Bilicanas kustarehe walivyofika wakaagiza vinywaji, Tambwe akatoka nje akaja na mademu watatu wakakaa meza moja wanakunywa pamoja, JK akatoa pesa kama laki tatu akampa Tambwe akalipe alivyofika kaunta akamwambia muhudumu utamwabia Mbowe Jk, atampa pesa yake wakikutana Bungeni. siku Jk na Mbowe wamekutana Mbowe akamwambia JK nipe pesa yangu JK akamwambia mbona siku ile ile nilimpa Tambwe akalipe, kuanzia siku hiyo Tambwe na JK wamechuniana. Makamba ndio akalipa hilo deni
 
Mkuu topic yako inaleta bifu kati ya Mbowe na J.K alafu ndani unaongelea bifu(kuchuniana)kati ya JK na Tambwe,ulimaanisha JK Vs Mbowe ama JK Vs Tambwe
 
Ahaaaaaaa....story zingine bwana!

Muwe mnajipanga kwanza bwana hayo madudu mengine yanajaza nafasi tu humu ndani.
 
Ahaaaaaaa....story zingine bwana!

Muwe mnajipanga kwanza bwana hayo madudu mengine yanajaza nafasi tu humu ndani.

Kaka mbona maneno yanakutoka Jf sio ya baba yako, ili ni jukwaa la Jokes, Utani, kama ujapenda sio lazima uchangie majukwaa yapo mengi kaka
 
Tehe tehe tee! ina maana Tambwe Hizza alikula ganji? mzee wake makamba akaaokoa jahazi
 
Me sijacheka...kama ulilenga kuchekesha bac ndo hatujacheka

Dada ginner ili ni jukwaa la Jokes, utani, ujalengwa wewe mpaka ucheke wapo wengi wanapita humu wanacheka, wewe utachekeshwa na mume wako nyumbani kwenu, Ahahahah..JF bana
 
Back
Top Bottom