Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,403
Tatizo si kuwa au kutokuwa na wasomi............ NI WEZI TULIONAOKwa kweli hii iko sawa na ID yako (Makoye Matale) sijui tutatokaje hapa tulipo. Nchi inakuwa kama haina wasomi jamani? Na unashangaa kwa nini hawa jamaa wanaendelea kupewa ardhi yetu kuchimba madini wakati hatunufaiki na chochote? Au wakubwa wana mgawo wao nini?