Kumbe baba yake Dk.Slaa alikuwa mpishi wa DC

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Great Thinkes..

Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC.
Source; Clouds fm
 
Great Thinkes..

Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC.
Source; Clouds fm

Ilikuwa miongoni mwa kazi za heshima sana enzi hizo.
 
Mie nimesomeshwa kwa kuuza karanga za sh. 10 na kutembeza ndizi mtaani.
 
Hussein Onyango Obama(1895-1979). Before settling down to work as cook for missionaries in Nairobi he was a traveller. Visited Europe, india and lived for a while in Zanzibar where he converted from Christinity to Islam. Obama family history speaks volumes of education and social mobility plus American Dream.
 
Ni vema sana kufahamu historia ya familia ya kiongozi. Hususan baada ya kufahamu ya kwake yey, atueleza kwanza profile lake yeye: aliacha achaje u-padri, ilikuwa kuwaje akashutumiwa kuzalisha mke wa mtu, ilikuwa kuwaje akaachana na mkewe, amewahi kufanya kazi gani zaidi ya u-padri kabla ya siasa. Kazi za upishi wa baba yake kwa sasa hazitusaidii bila kumjua yeye kiongozi.
 
Ni vema sana kufahamu historia ya familia ya kiongozi. Hususan baada ya kufahamu ya kwake yey, atueleza kwanza profile lake yeye: aliacha achaje u-padri, ilikuwa kuwaje akashutumiwa kuzalisha mke wa mtu, ilikuwa kuwaje akaachana na mkewe, amewahi kufanya kazi gani zaidi ya u-padri kabla ya siasa. Kazi za upishi wa baba yake kwa sasa haitusaidii bila kumjua yeye kiongozi. [/Qup
upitie cheque yako hapa imeachwa na David Cameroon!!!
 
mambo mengine mmh,
sijui hata niseme nini,
wengine hata hizo kazi za wazazi wetu ni siri yetu wenyewe.
 
Matusi hayajengi hata kama mmeingia kwa vivuli humu ndani
matusi ni kiwango cha juu kabisa cha kuonyesha ni kiasi gani
mtu amekosa busara. Jirekebisheni!
 
Matusi hayajengi hata kama mmeingia kwa vivuli humu ndani
matusi ni kiwango cha juu kabisa cha kuonyesha ni kiasi gani
mtu amekosa busara. Jirekebisheni!

Hivi mtu baba'ke kuwa mpishi ni tusi?
 
Great Thinkes..

Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC.
Source; Clouds fm
Clouds walivyo ma...... huenda vichwani mwao walidhania wanamchafua kweli kile kiredio na shangaa sana sijui kwanini msichana wangu wa kazi hachoki kukisikiliza??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom