Kumbadiri rafiki kuwa mpenzi wako.

mi mwnyewe inanipa tabu kweli nina best wangu japo sio kitambo viiiiile lakini nampenda kinoma awe GF wangu sema sasa niliishaharibu ni marafiki

ukiweza kuisoma na kuitumia vizuri hiyo avatar yako, unaweza kufanikiwa. Hao ni marafiki ila they are trying to go to the next level.
 
Kuwa kauzu then Mtemee madini tu lazima atakuelewa maana na yeye ni mtu mzima bhana!We shuka mistari tu inawezekana sana tu, naongea from my own experience! Tena affair inadumu sana ya muundo huu!
 
Komaa tu utambadili japo ni ngumu kidogo wengi huwa wanazengua! Kuna she m1 nilimtongoza akaniambia mi nina mpnz wngu, ila tuwe marafiki2 nikamwambia mi sikukupenda uwe rafiki yangu bali mpnz wangu over!
 
Mpwa huyo usijaribu kumtongoza beach au maeneo ambayo atakwambia jibu ntakupa kesho. Huyo kaanae rum then anza kumpa madini, wakati unampa madini then anza kumpiga touching za hapa na pale huku ukimwangalia reaction yake. Akizubaa tu, kula mzigo siku hiyohiyo. SIKU HIZI WATU HATUTONGOZI, ANAINGIZWA JUVENTUS STADIUM . HAPO MWANAMKE AKITOKA KWELI UJUE HUYO NI KAUZU. Tena wewe unabahati kweli unauwezo wa kumwita mazingira hatarishi then akaja kwa sababu anakuamini wewe ni raiki yake. Mm ingekua kitambo nishapiga 3-0 hapo.
 
Duniani kuna mambo kiukweli kwa upande wangu Mademu wengi ambao tulianza kama friendz tumeishia kulana kama nyama choma. Hii inategemea na jinsi ww ulivyo wala sio ngumu kivile, kiukweli style yangu me huwa siwatokei Mademu direct, huwa wanaanza kwa kuniita Brother, Rafiki mwishowe ni kuvuana kale ka nguo kadogo.
 
Back
Top Bottom