Kumaliza matatizo ya meno na kinywa kwa ujumla inawezekana. Ni wewe tu!!!

amigooo

Senior Member
Jun 30, 2012
115
18
FOREVER BRIGHT TOOTH GEL
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inangarisha meno bila kuchuna tabaka la juu la meno-ENAMEL. Huzuia meno yasitoe damu, kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila kupiga mswaki.

Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara. Haina fluoride kama zilivyo aina nyingine za dawa za meno. Fluoride inayopatikana kwenye majiinatosha kwa ajili ya afya. Ikizidi inakuwa na madhara mwilini hasa kwa watoto wadogo huathiri IQ(Intelligence Quotient)

Husafisha na kuyaacha meno yako yakiwa nakingaa. Dawa zenye fluoride pia huaribu meno sbb ya kuzidi kwa hayo madini na rangi ya meno hubadilika rangi.

Usiwe na shaka kuhusu kuepuka ili meno yako yasiharibike. Tumia hii product kwa afya ya kinywa na yenye upendeza.

FAIDA: Huzuia kutokwa damu, harufu mbaya, kuimarisha fizi, matundu kwenye meno,huponya vidonda vya mdomoni, haina fluoride.
HEALTH is given first priority: Invest in your health and it cost only 13000/- to have yours at home
PLACE YOUR ORDER NOW = > Bernard 0713889162
healthwealthfirst@gmail.com
 
Attachments

  • 23.jpg
    23.jpg
    15.8 KB · Views: 156
  • 24.jpg
    24.jpg
    17.2 KB · Views: 188
  • 25.jpg
    25.jpg
    10.1 KB · Views: 114
Hizi promo zimo hata kwenye mabasi. hizo dawa hazina lolote.
Hizi siyo zile uzionazo kwenye mabasi ndg. Za kwenye mabasi ni za kuchakachua na japokuwa nazo zinaonekana tofauti na Colgate na Whitedent. Pata uelewa zaidi mpinga shetani
 
Mimi nikishaona FOREVER products, nafunga kabisa kusoma

Ni power of marketing tupu
 
Amigoo mbona sikupati kwenye namba hizo uloandika hapo?nahitaji dawa plz
 
Usilojijua ni sawa na usiku wa kiza. Tafuta uelewa kwanza

thanks kwa wewe unayelijua............ bahati mbaya sana kujua kwangu hakuwezi kunibadili, kwani tuna GNLD, Forever etc. na nimeshindwa kutofautisha chochote kati yao zaidi ya remaning/rebranding Alove vera nk.

I will go for what i know and be comfortable, than spending huge sum kwa kununua shubiri ya kwenye kopo wakati kila wilaya shubiri yaweza ota cha maana ni kujua species sahihi... Nenda Lushoto botanical garden ukajifunze zaidi mkuu
 
Wewe hakuna unachokielewa ndiyo maana unaweka comments zisizo. Angalia kwanza ni wangapi wamesoma hiyo thread na ndiyo waelewa
 
Wewe hakuna unachokielewa ndiyo maana unaweka comments zisizo. Angalia kwanza ni wangapi wamesoma hiyo thread na ndiyo waelewa

kuna post 13 tu, kuonyesha kwamba thread haina mashiko

we tumika kwenye marketing.... :poa
 
Back
Top Bottom