rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
wazee nasikitishwa sana na hali inayoendelea gongolamboto ulipuaji wa mabomu,yule kamanda wao kasema yatalipuliwa mwezi mzima,yaani vishindo vinatisha,naona kama ni usumbufu kwa raia,,,,hivi hayo mabomu mlinunua ya nini???kwa nini wasiyaweke kambi zilizo karibu na border za nchi yetu,,hawa jamaa ovyoo sana mzee!