Kulikuwa na haja kwa kampuni ya BP kuwa na kitengo cha Risk & Compliance Mgt

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Kulitakiwa kuwe na kitengo cha risk and compliance mgt ambacho ni fully fledged, ambacho ni independent. Kisiwe part ya internal audit.<br />
Leo hii wasingepewa adhabu ya miezi mitatu, kwa kuwa risk ile ya non-compliance ingekuwa handled professionally na EWURA huenda wangewajibishwa ipasavyo.<br />
Hii ni funzo kwa baadhi ya kampuni kubwa zinazo operate nchini bila kuwa na kitengo cha risk and compliance ambacho ni independent.<br />
Kampuni nyingi zime rely kwenye intrnal audit and legal unit na kuthani kila kitu kipo ok.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom