Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,848
- 2,669
Wanawake siku hizi wamepooza, wabaridi na wasio na ladha tena katika suala zima la mapenzi hii inatokana na jinsi wanavyovaa na ambavyo walitakiwa wavae.
Wanawake siku hizi wanaacha maziwa nje, mistari ya makalio nje, mapaja nje, wengine hawavai chupi, sidiria, wala skin tite. Si ajabu sasa kuuona uchi wa mwanamke mkiwa ndani ya daladala, ofisini, barabarani wakitembea, sehemu za starehe n.k
Kwa mantiki hii wanawake wamekuwa baridi, wasiovutia tena kwenye mapenzi na walioopooza kwa kiwango kikubwa kutokana na maumbile yao kuonekana wazi na kila mara. Kimsingi mwanamke hatakiwi kuwa uchi uchi ili pale faragha anapokuwa wazi basi aweze kumhamasisha mwanaume na mapenzi yaweze kuwa moto.
Na hiki ndio chanzo kikubwa cha ndoa nyingi, mahusiano mengi kuvunjika maana wanawake sio wale tena hawana tofauti na wanaume tena na wamekuwa wa kawaida sana
Mwisho:- Wanawake kwenye kutafuta hiyo 50/50 pia fudishaneni kurudia uwanawake ili kweli heshima yenu irudi na ladha yenu na hamasa yenu kama wanawake irudi otherwise mnapata huku halafu mnapoteza huku.
niambie ni dunia gani unayoishi nami nije kuishi huko. kila mwanamke anavaa uchi?!