Kulikoni ya wanawake na mavazi haya? Inasikitisha mnapoteza asili yenu

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Wanawake siku hizi wamepooza, wabaridi na wasio na ladha tena katika suala zima la mapenzi hii inatokana na jinsi wanavyovaa na ambavyo walitakiwa wavae.

Wanawake siku hizi wanaacha maziwa nje, mistari ya makalio nje, mapaja nje, wengine hawavai chupi, sidiria, wala skin tite. Si ajabu sasa kuuona uchi wa mwanamke mkiwa ndani ya daladala, ofisini, barabarani wakitembea, sehemu za starehe n.k

Kwa mantiki hii wanawake wamekuwa baridi, wasiovutia tena kwenye mapenzi na walioopooza kwa kiwango kikubwa kutokana na maumbile yao kuonekana wazi na kila mara. Kimsingi mwanamke hatakiwi kuwa uchi uchi ili pale faragha anapokuwa wazi basi aweze kumhamasisha mwanaume na mapenzi yaweze kuwa moto.

Na hiki ndio chanzo kikubwa cha ndoa nyingi, mahusiano mengi kuvunjika maana wanawake sio wale tena hawana tofauti na wanaume tena na wamekuwa wa kawaida sana

Mwisho:- Wanawake kwenye kutafuta hiyo 50/50 pia fudishaneni kurudia uwanawake ili kweli heshima yenu irudi na ladha yenu na hamasa yenu kama wanawake irudi otherwise mnapata huku halafu mnapoteza huku.
 
wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
wewe ushawahi kuona sehemu za siri za mwanamke barabarani na mara ngapi? mie bado sijawahi
 
Sema mkeo,sio wanawake wote wanatembea unavyosema au wamepooza unavyodai.Unless u-justify kuwa umewatest wanawake wote.
 
Jazba tu, ukweli unabaki pale pale. Sema sio wewe na usiwakanushie wote
 
Sema mkeo,sio wanawake wote wanatembea unavyosema au wamepooza unavyodai.Unless u-justify kuwa umewatest wanawake wote.
Ninachojua ni kwamba ili lisemwe kundi fulani juu ya tabia fulani si kwamba wooote katika kundi lile wako vile ila hii husemwa kutokana na idadi kubwa ya kundi husika.
Kweli kama kweli wewe unaweza kutathmini wanawake wa zama unazozifahamu utakubali kuwa haya yanayosemwa yana ukweli ndani yake. Kinachotakiwa hapa ni kuwasihi hawa wanawake wenye kuchupa mipaka wajirudi ili kurudisha heshima ya mwanamke kama MAMA.
 
Charity ametumia jazba tu lakini nina uhakika anajua kuwa hili lipo, na hata tunaposema serikali ya imejaa mafisadi haina maana kuwa wote walioko serikalini ni mafisadi. Nina uhakika Charity ni mwanamke mwadilifu ila kuliko kujibu kama alivyojibu
Sema mkeo,sio wanawake wote wanatembea unavyosema au wamepooza unavyodai.Unless u-justify kuwa umewatest wanawake wote.
basi angeibua hoja ya kupinga nikisemacho ila yeye kama ni muumini mzuri dhamira yake itamsuta kwa maana haya yapo mabinti wadogo wanatembea uchi kabisa na yeye anaona. Kuna sababu ya kukemea tabia hii na wanawake wenyewe inabidi wachukue jukumu hili na sio wengine ni hawa waadilifu kama akina Charity, WOS, FL1, MwanajamiiOne, Nyamayao na wengine
 
Mokoyo naona ulitaka kuzungumzia mavazi wanayo vaa mabinti wa kileo au siyo?
Yanafanya sehemu nyingi za miili yao kuwa wazi kisha wanapigwa na baridi au siyo?
 
Ninachojua ni kwamba ili lisemwe kundi fulani juu ya tabia fulani si kwamba wooote katika kundi lile wako vile ila hii husemwa kutokana na idadi kubwa ya kundi husika.
Kweli kama kweli wewe unaweza kutathmini wanawake wa zama unazozifahamu utakubali kuwa haya yanayosemwa yana ukweli ndani yake. Kinachotakiwa hapa ni kuwasihi hawa wanawake wenye kuchupa mipaka wajirudi ili kurudisha heshima ya mwanamke kama MAMA.
Hivi Tanzania ina wanawake wangapi? na Tanzania ina mikoa mingapi? mkoa gani una wanawake wengi? mkoa gani unaoongoza kwa wanawake kuvaa vichupi?
Tukichukulia hapa Dar kwa mfano,ni asilimia ngapi ya wanawake wanavaa vichupi?
Na tukisema kwamba eti zamani walikuwa na nafuu,hivi ni lini babu zetu waliacha kuvaa majani na kutembea matiti wazi?kwani zamani walikuwa hawana maadali?au walikuwa wamepooza kwa vile hawakuwa na nguo?
Hebu nijibu maswali yangu kisha tuendelee.
Na nisieleweke vibaya sitetei kuvaa vibaya,ninachosema nyie baadhi ya wanaume ndio mna matatizo.
 
Kama umetembea nchi hii na kwa kiwango cha kuridhisha hili sio tatizo la mkoa mmoja kwa sasa na wala huwezi kusema Dsm, Arusha au Mbeya pekee ni maeneo mengi sana.

Tukichukulia hapa Dar kwa mfano,ni asilimia ngapi ya wanawake wanavaa vichupi?
Tunapozungumzia vichupi inabeba mambo mengi si chupi peke yake kama unavyofikiri wewe tu ila ni pamoja na nguo fupi zinazoacha maeneo yao makubwa nje manthalani baadhi ya suruali zinaacha maeneo yao makubwa ya nje hasa wanapokuwa kwenye daladala unless wewe hutumii usafiri huu na ndio maana sijambishia hata Gaijin
wewe ushawahi kuona sehemu za siri za mwanamke barabarani na mara ngapi? mie bado sijawahi
anavyosema hivi maana sijui maisha anayoishi. Ila ni idadi kubwa sana ya wanawake wanakuwa uchi

Na tukisema kwamba eti zamani walikuwa na nafuu,hivi ni lini babu zetu waliacha kuvaa majani na kutembea matiti wazi?
fuatilia historia vizuri halafu mwenyewe utaona baadhi ya maneno hapa siyo ya kweli, tukianza kulizungumza hili ni mada nyingine kabisa

Na nisieleweke vibaya sitetei kuvaa vibaya
hata maandiko yako ya nyakati za nyuma hayaonyeshi hivyo

ninachosema nyie baadhi ya wanaume ndio mna matatizo.
Hili nalo ni suala jingine ingawa lina mashiko yake hapa kwenye mada hii lakini kukemea vitendo hivi ni two ways, wanawake na wanaume
 
.

Na hiki ndio chanzo kikubwa cha ndoa nyingi, mahusiano mengi kuvunjika maana wanawake sio wale tena hawana tofauti na wanaume tena na wamekuwa wa kawaida sana

.

Hiyo ni Pumba kuliko zote nilizowahi kuziona humu katika Jukwaa hili.
 
kuna kundi fulani la wanawake ambao wanavaa nguo za kuonyesha miili yao sana (kutokuvaa nguo za ndani hapa sijui vipi coz sijawahi kushuhudia), lakini nguo wanazovaa hazileti mafunzo mazuri kwa watoto.

hofu yangu ni kizazi kijacho kudhani uvaaji huo wa wazi ni bora kuliko wa kuvaa kwa kuheshimu mauombo yako mazuri uliyopewa na muumba
 
Hivi Tanzania ina wanawake wangapi? na Tanzania ina mikoa mingapi? mkoa gani una wanawake wengi? mkoa gani unaoongoza kwa wanawake kuvaa vichupi?
Tukichukulia hapa Dar kwa mfano,ni asilimia ngapi ya wanawake wanavaa vichupi?
Na tukisema kwamba eti zamani walikuwa na nafuu,hivi ni lini babu zetu waliacha kuvaa majani na kutembea matiti wazi?kwani zamani walikuwa hawana maadali?au walikuwa wamepooza kwa vile hawakuwa na nguo?
Hebu nijibu maswali yangu kisha tuendelee.
Na nisieleweke vibaya sitetei kuvaa vibaya,ninachosema nyie baadhi ya wanaume ndio mna matatizo.

afadhali umeeleza charity, watu wanasahau kwamba hizi nguo tumeiga kwa wazungu na si jadi yetu!
 
Jamani...kwani hamuelewi nini....ishu ni kwamba siku hizi kuona maumbile ya ndani au nguo za ndani za wasichana wengi siyo ajabu kabisa....wapo wengi hawavai chupi au wakivaa wanahakikisha zinaonekana ...nie mnaishi anga zipi??? hata huko vijiweni tunapopata vinywaji huwa wanasema wenyewe....na ni wenye akili zao....yaani siku hizi kumsikia demu anakuambia mimi hapa sijavaa chupi kwenye maongezi ni kitu cha kawaida...
 
Back
Top Bottom