Kulikoni vodacom m-pesa( network tatizo?)

Kottler Masoko

Senior Member
May 28, 2010
193
28
Habarini za Kazi Wakuu.

Kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu kusuasua kwa huduma ya VODACOM M-PESA wanakosema kumesababishwa na kukosekana kwa Network? Au ndo ule wimbo wetu wajinga ndiyo waliwao!! Maana tangu jumapili iliyopita dogo hajapata pesa nilizomtumia ktk M-pesa, amejaribu kuuliza anaambiwa kwamba kuna shida ya Network, MBONA SISI WATEJA HATUJAWEKWA WAZI TUKATAFUTA NJIA NYENGINE?
Sasa kwa vijisababu kama hivi tutafika kweli ktk huo ulimwengu wa pure digital?

I WONDER VODACOM WAMEKAA KIMYA, WATU WATAIBIWA BUREEE.
:angry:
 
Wasiliana nao kwenye namba hii 15366, ni M-PESA customer care. Wiki hii nimemumia mtu mara 2 na zote amepata bila shida. Mara ya mwisho na jana na ameconfirm kupata jana hiyo hiyo.
 
Wiki hii network imekuwa tatizo. Unaweza kutuma lakini kupokea ni shughuli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom