Kulikoni uchunguzi wa kifo cha Kombe na Mh Chacha Wangwe?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Je umeishia wapi uchunguzi wa kifo cha Kombe aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama na Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime aliyefariki dunia kwa ajali ya gari.

Tunaomba DATA
 
Mimi kwa wakati huu sikae Tanzania, ila kama kuna Mtanzania anayejua taarifa ya kifo cha KOMBE kama ilitoka hadharani ningeliomba kujua maana ni zaidi ya miaka 10 !
 
Kifo cha Chacha Wangwe, yule jamaa inaesemekana alisababisha ajali mbona amefungwa!
 
Je umeishia wapi uchunguzi wa kifo cha Kombe aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama na Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime aliyefariki dunia kwa ajali ya gari.

Tunaomba DATA

Mimi kwa wakati huu sikae Tanzania, ila kama kuna Mtanzania anayejua taarifa ya kifo cha KOMBE kama ilitoka hadharani ningeliomba kujua maana ni zaidi ya miaka 10 !
'funika kombe mwanaharamu apite'...over!
 
Kifo cha Wangwe. Dogo alihukumiwa kufungwa kwa kuendesha gari bila leseni na wakili wake alikata rufaa nafikiri hii rufaa itakuwa bado. Sijui kama kuna mtu ana habari zaidi.

Kifo cha Kombe yule askari aliyeua pia alihukumiwa sina hakika kunyongwa au maisha lakini hukumu ilitoka na familia ilikuwa ilipwe kiasi fulani kwa mauji yaliyofanywa na askari wake.
 
Back
Top Bottom