Kulikoni Singida, ufinyu wa fikira au umasikini hata kwa wasomi kufiukia wanajidhalilisha kwa Dewji?

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Wakuu,

Sikuamini niliyoaaona kwenye picha hii? hivi yaani mbunge wa Singida mjini anaitisha mkutano wa walimu wa sekondari wa jimbo lake ili apate ripoti, hiyo sawa lakini anadiriki hata kuwavalisha vi tisheti vyenye picha yake? jamani hii si kuwadhalilisha yaani anawafanya kama wanafunzi wa shule ya chekechea?

attachment.php

Attachments

• IMG_5059.JPG
IMG_5059.JPG
83.5 KB · Views: 582
njaa mbaya jamani... hapo utakuta kiala mtu kapewa elfu 50 na kudhalilishwa kuvalishwa t-shirt za huyu jamaa..
anadamu ya ukoloni bado? ina maana damu ya ukoloni haijafutika?
mods msifute post yangu huu

na bado hawa walimu sometime vichwa na akili zao utadhani chekechea! Kesho wakiambiwa wapige magoti watapiga tu hao, njaa zao zitawapeleka kwa kaburi hao. Ukichanganya na soda walizopewa wataondoka wakiamini matatizo yao yamekwisha. kazi ya ualimu bwana!!!!!!

soda au maji.. mm naona maji hapo.. jamaa anapiga kampeni kiaina

njaa mbaya jamani... hapo utakuta kiala mtu kapewa elfu 50 na kudhalilishwa kuvalishwa t-shirt za huyu jamaa..
anadamu ya ukoloni bado? ina maana damu ya ukoloni haijafutika?
mods msifute post yangu huu

Hapo kwenye redi: hiyo ni nusu ya mshahara wake, halafu hapo wanaona bonge la dili

Wakuu,

Sikuamini niliyoaaona kwenye picha hii? hivi yaani mbunge wa Singida mjini anaitisha mkutano wa walimu wa sekondari wa jimbo lake ili apate ripoti, hiyo sawa lakini anadiriki hata kuwavalisha vi tisheti vyenye picha yake? jamani hii si kuwadhalilisha yaani anawafanya kama wanafunzi wa shule ya chekechea?

kwani hawa waalimu si wale wa program iliyo julikana kama voda fasta...3weeks unakuwa teacher!!!!!!

attachment.php

kwani hawa waalimu si wale wa program iliyo julikana kama voda fasta...3weeks unakuwa teacher!!!!!!

attachment.php

hawa ni wafugaji bana co walimu. haiwezekani kama ni walimuwakubali kuvalishwa hayo ma-tshirt ya njano ya No.1 tena yenye picha ya huyo dogo. I namaa hao wote wawe na akili inayofanana kuwa wanakubali magamba??? haiwezekani..

Njaa mbaya sana na upungufu wa fikra sahihi walimu wazima wanakubali upuuzi wa kuvalishwa tisheti za fisadi

Ukitaka cha uvunguni ni SHARTI uiname. Hawa wako tayari kwa lolote atakalo huyu dogo ili mradi elfu 50 imepatikana . Usicheze ma umasikini utioambatana na njaa

Kila kitu tanzania ni pesa na mwenye nazo si mwenzako

sijui sheria inasemaje hapa kuhusu siasa na utendaji wa serikali

me simlaum dewji hapa! nawalau hawa waalim ambao ndio tunaotegemmea kua ni maelite wa maeneo ambayo bado
yapo nyuma.kama tena wanafanya hivi je wnyeviti wa vijiji na WANAVIJIJI WENYEWE?????

njaa mbaya jamani... hapo utakuta kiala mtu kapewa elfu 50 na kudhalilishwa kuvalishwa t-shirt za huyu jamaa..
anadamu ya ukoloni bado? ina maana damu ya ukoloni haijafutika?
mods msifute post yangu huu

50 yote ya nini hiyo! Kumi tu 10+tisheti+Msosi inatosha...sana

Ukitaka kula kubali kuliwa, hawa wako tayari kuliwa.
Wanyeramba mnashida gani ?

Wakuu,

Sikuamini niliyoaaona kwenye picha hii? hivi yaani mbunge wa Singida mjini anaitisha mkutano wa walimu wa sekondari wa jimbo lake ili apate ripoti, hiyo sawa lakini anadiriki hata kuwavalisha vi tisheti vyenye picha yake? jamani hii si kuwadhalilisha yaani anawafanya kama wanafunzi wa shule ya chekechea?

Mkuuu hawa ni wasomi jina tu,hawana tofauti na wanafunzi wao, Hata akiwavalisha boxa hawata kataa watazitinga tu bila aibu.

Back
Top Bottom