Kulikoni ndani ya CCM? Baadhi wafariki dunia na wengine wako hoi kitandani!

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Hawa ni baadhi ya madiwani walioaga dunia toka waapishwe 2010

1. Diwani wa Sichombo
2. Diwani wa Chang'ombe - Dodoma
3. Diwani wa kikuyu kusini
4. Diwani wa Monduli
5. Diwani wa Siha Kilimanjaro
6. Ngangilonga Iringa

....na hawa ni baadhi ya WABUNGE/MAWAZIRI WANAOUGUA HOI KITANDANI

1. MARK MWANDOSYA
2. JEREMAYA SUMARI (toka ashinde ubunge hajawahi kuingia bungeni na wala hajaapishwa)
3. H. MWAKYEMBE
 
Huyu Sumari nakumbuka alikataliwa kue Arumeru Mashariki, Baada ya kuiba kura na kuchukua nafasi kwa nguvu wazee walitamka hadharani ya kwamba Hataingia Mjengoni hata kidogo!

Hili la Mwakyembe, Ni PM nikupe Mchezo uliofanyika na nani anahusika!
 
Usitunyime haki ya habari. Here we talk openly bana.
 
Huyu Sumari nakumbuka alikataliwa kue Arumeru Mashariki, Baada ya kuiba kura na kuchukua nafasi kwa nguvu wazee walitamka hadharani ya kwamba Hataingia Mjengoni hata kidogo!

Hili la Mwakyembe, Ni PM nikupe Mchezo uliofanyika na nani anahusika!

weka mambo hadharani
 
Hapana Mungu hana mipango mibaya na waja wake. Si kila ugonjwa na kila kifo ni Yehova analeta kwa wanadamu. Msimfanye Mungu akaonekana kama adui.

Adui wa mwisho kuangamizwa na Mungu/Yesu ni kifo kwani neno la mungu lina sema adui haji ila aibe; aharibu na kuua bali nalikuja ili wawe na uzima tena wawe nao tele; kwakuwa mshahara wa dhambi ni mauti bali utakatifu ni urithi wa milele basi watoto wadogo nawaasa msitende dhambi etc...

Kwahivyo vipi kifo kiwe adui wa Mungu alafu Mungu awape watu wake? Kifo ni silahaa kuu ya shetani anayoitumia kuangamiza wanadamu ili wamlaani muumba wao maana anajua siri ya kifo ni mtu kukaa mbali ama nje ya ulinzi wa mungu naye mara zote huleta dhambi katikati ya mwanadamu na mungu ili hatimaye amezwe na mauti. Mungu kwa upendo wake mkuu kupitia kwa mwanaye Yesu kristo alikiboresha kifo kwa kukifanya kiwe usingizi kwa watoto wake mpaka tarumbeta lake litakapo waamsha siku ya kurudi kwake mara ya pili.

Na kwao waliokataa neema ya Mungu ya wokovu ndiyo ambao wanapokufa hawana matumaini tena ya kurudia uzima wao wa mwanzo bali ni ticket ya kuonana na yule waliomwamini kwa hiyari yao akiwadanganya kila leo kwa fahari na anasa za dunia kama kuua watu kwa kutaka madaraka; kufisadi fedha za umma huku maelfu wakiangamia kwakukosa lishe, makazi, dawa, upendo wa kifamili, kukosa elimu itakayo wafanya wamjue Mungu zaidi nakutumia vipaji walivyopewa na muumba wao etc na badala ya kutumia elimu na vipawa vyao kuboresha hali ya wengine bali wanavitumia kuwakandamiza, kuwasononesha, kuwakatisha tamaa na hata kufanya vitendo viovu kwakutumia rasilimali mungu alizozitoa bure kwa mwanadamu kumtumikia shetani kwakulewa, uzinzi, fitina uwongo etc...Hao wajapokuwa wanatembea ni wafu maana ile pumzi ya Mungu iliyo na dhamira njema imekwisha kufa ndani mwao.
 
Hapana Mungu hana mipango mibaya na waja wake. Si kila ugonjwa na kila kifo ni Yehova analeta kwa wanadamu. Msimfanye Mungu akaonekana kama adui.
Umenena vema kabisa, mshahara wa dhambi ni mauti, kwaile dhambi ya adamu ndio maana tunaugua na kufa.
 
Huku ni kukuza mambo. Yaani unamaanisha mtu akiwa Diwani basi ataepuka kuonja fardhi ya mauti?
 
Hawa ni baadhi ya madiwani walioaga dunia toka waapishwe 2010

1. Diwani wa Sichombo
2. Diwani wa Chang'ombe - Dodoma
3. Diwani wa kikuyu kusini
4. Diwani wa Monduli
5. Diwani wa Siha Kilimanjaro
6. Ngangilonga Iringa

....na hawa ni baadhi ya WABUNGE/MAWAZIRI WANAOUGUA HOI KITANDANI

1. MARK MWANDOSYA
2. JEREMAYA SUMARI (toka ashinde ubunge hajawahi kuingia bungeni na wala hajaapishwa)
3. H. MWAKYEMBE

Si bado kidogo! Kwani si umesikiaga hata Edward Ngoyai Lowassa anaumwa? Na huyu M.Mwandosya huko alipo Mi cjui. Nawaambieni hawa magamba yani wana majajusi ndani yao lakini watashindwa tu! Je? Mnamkumbuka Hayati Kolimba? Alivyokufa kimaajabu?
 
Badala ya kusikitika kwa msiba mkubwa wa Space Islanders unaleta habari za ajabu ajabu.
 
Badala ya kusikitika kwa msiba mkubwa wa Space Islanders unaleta habari za ajabu ajabu.

Mkubwa! Jamaa hajaleta habari ya ajabu Mi naona kaleta Topic yenye kuhitaji mawazo maana hawa magamba ni hatari kwa Watanzania. Mi naona jamaa yupo makini.
 
Hapana Mungu hana mipango mibaya na waja wake. Si kila ugonjwa na kila kifo ni Yehova analeta kwa wanadamu. Msimfanye Mungu akaonekana kama adui.

Inafaa nikukumbushe kwamba kila NAFSI itaonja mauti. Sasa lini mtu atakufa inabaki kuwa ni siri ya MUNGU
 
Hawa ni baadhi ya madiwani walioaga dunia toka waapishwe 2010

1. Diwani wa Sichombo
2. Diwani wa Chang'ombe - Dodoma
3. Diwani wa kikuyu kusini
4. Diwani wa Monduli
5. Diwani wa Siha Kilimanjaro
6. Ngangilonga Iringa

....na hawa ni baadhi ya WABUNGE/MAWAZIRI WANAOUGUA HOI KITANDANI

1. MARK MWANDOSYA
2. JEREMAYA SUMARI (toka ashinde ubunge hajawahi kuingia bungeni na wala hajaapishwa)
3. H. MWAKYEMBE

Malaika wa kifo kesha aanza kazi ya kuwashughulikia maadui wa Muumba..............Revelation 9:15 "So the four angels, who had been prepared for the hour and day and month and year, were released to kill a third of mankind."
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom