Kulikoni jeshi la magereza........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Kuna taarifa, kuwa wafungwa wengi wanawake, waliohukumiwa vifungo, hapo kabla hawakuwa wajawazito, lkn kadri siku za kutumikia kifungo zikisogea wafungwa hao wanabebeshwa mimba na hatimaye kujifungua , jamani mnaojua hebu tuhabarisheni kunani paleeeeee........, nanyi Tamwa mko wapi.....?
 
Duuuh nani anayeingiza hizo mimba au rushwa ya ngono pia inaendelea gerezani kwa ajii ya wali na nyama instead of maharage na dona
 
Back
Top Bottom