Kulikoni Gazeti la Tanzania daima hewani?

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Zimekuwa ni siku nyingi kila nikilitafuta gazeti la tanzania daima huwa silipati hewani, naomba kwa anayejua labda kuna njia nyingine ya kulipata
 
Zimekuwa ni siku nyingi kila nikilitafuta gazeti la tanzania daima huwa silipati hewani, naomba kwa anayejua labda kuna njia nyingine ya kulipata

.
Hili gazeti linaugua ugonjwa mbaya sana wa kielectroniki ujlikanao kama maintenance mode.
ugonjwa huu umekua ni wa mda mrefu na kwa kweli sijui kama litapona.
tuzidi tu kuliweka kwenye maombi.
.
 
Back
Top Bottom