Kulikoni Dkt. Magufuli kutohudhuria karamu ya Mabalozi Ikulu?

Ndio maana kukawa na mawaziri wanaohusika na mambo hayo rais status nyingine....
 
Nimeshangazwa kidogo kwa kitendo cha Rais Dkt Magufuli kuwaandalia karamu ya kuukaribisha mwaka mpya, mabalozi na Maafisa wa kimataifa waliopo nchini na kisha yeye mwenyewe kumtuma waziri wake wa mambo ya nje kumwakilisha.

Kwa maoni yangu naamini hili ni kosa la kiufundi hasa ikizingatiwa kuwa Magufuli ndio ameanza tenure yake kama Raisi na hivyo angepaswa kutumia fursa hiyo kikamilifu ili kujenga taswira yake vema kimataifa kupitia kile anachokiamini na kusimamia.

Taarifa iliyorushwa na vyombo vya habari haikusema ni dharura gani aliyokuwa Mhe Rais ilihali yupo nchini.
Huyu jamaa kakisa kwenda kikao cha AU, sasa anashindwa hata kuhost dhifa?

Maana yake nini?
 
Vipi kila mpinzani apewe japo muda kidogo madarakani, au vipi! Hiyo si ndiyo demokrasia!!!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Umeandika kinazi hueleweki,any way maalim anashindaga kweli uchaguzi tatizo anajulikana unafiki wake,toka issue ya jumbe ikaja uwazili kiongozi na cuf huko zanzibar ni chama chake,unaposema kila mpinzani apewe madaraka kivipi hueleweki
 
Hapo kwa kweli hakuwatendea haki Mabalozi wnaowawakilisha nchi zao hapa nchini. Ni vyema washauri wake wakachukua nafasi ya kumshauri.
yeye ndiye anayewashauri hao washauri....na sio yeye kushauriwa
 
Mkuu wa nchi lugha za kigeni ni sifuri, yeye anajua salamu za makabila, kiswahili labda na kisukuma...mpenda sifa, teh!
Wachina wangapi wanaokuja kwetu huku wakiongea lugha za kigeni?. Wengi wao wanakuja tena wawekezaji wakubwa lakini lugha za kimataifa hawajui kuzizunguma...
 
Nimeshangazwa kidogo kwa kitendo cha Rais Dkt Magufuli kuwaandalia karamu ya kuukaribisha mwaka mpya, mabalozi na Maafisa wa kimataifa waliopo nchini na kisha yeye mwenyewe kumtuma waziri wake wa mambo ya nje kumwakilisha.

Kwa maoni yangu naamini hili ni kosa la kiufundi hasa ikizingatiwa kuwa Magufuli ndio ameanza tenure yake kama Raisi na hivyo angepaswa kutumia fursa hiyo kikamilifu ili kujenga taswira yake vema kimataifa kupitia kile anachokiamini na kusimamia.

Taarifa iliyorushwa na vyombo vya habari haikusema ni dharura gani aliyokuwa Mhe Rais ilihali yupo nchini.
Nimeshangazwa kidogo kwa kitendo cha Rais Dkt Magufuli kuwaandalia karamu ya kuukaribisha mwaka mpya, mabalozi na Maafisa wa kimataifa waliopo nchini na kisha yeye mwenyewe kumtuma waziri wake wa mambo ya nje kumwakilisha.

Kwa maoni yangu naamini hili ni kosa la kiufundi hasa ikizingatiwa kuwa Magufuli ndio ameanza tenure yake kama Raisi na hivyo angepaswa kutumia fursa hiyo kikamilifu ili kujenga taswira yake vema kimataifa kupitia kile anachokiamini na kusimamia.

Taarifa iliyorushwa na vyombo vya habari haikusema ni dharura gani aliyokuwa Mhe Rais ilihali yupo nchini.
Vipi kama alipatwa na mafua?
Sio kila dharura ya rais utaarifiwe.
Kuna watu toka wamalize shule hawajui kazi yoyote zaidi ya diplomasia,huwezi kuwa fundi zaidi ya Mahiga
 
acheni ujinga!!!! rais ni cheo kikubwa sana duniani
...rais hapatikani kila Siku maana.... yeye ni mwajiliwa wa wananchi hivyo kama yeye ni mwajiliwa wa wananchi anafanya kazi kwa ajili ya wananchi!!! pia yeye anawasaidizi wake wanaoweza kufanya kazi kwa kumsaidia rais
 
Anabipu fire. Akiwaboa wazungu watapunguza misaada na kununua bidhaa zetu na kuleta watalii. Dola itakuwa ngumu kupatikana bei za vitu zitaongezeka maisha yatazidi kuwa magumu wananchi watazidisha chuki kwa ccm na serikali ya magufuli.
.....ameshaanza kuwaboa wazungu kwa ku limit movement za mabalozi wao humu nchini.....pia issue ya uchaguzi zenj itakula kwake kwa kiwango kikubwa....maana leo tu amesisitiza (kupitia kwa Maiga)kwamba suluhu ya zenj ni kurudiwa kwa uchaguzi tu....hapa tayari anacheza na moto vibaya....nimemwona yule mama balozi wa Norway akihamaki sana....JPM ana kazi kweli kweli....ameyataka mwenyewe...si wanasema hapa kazi tu!...kazi kweli wanayo.....
 
Sasa naanza kuamini lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwa mkuu wa kaya. Na kwa vile sasa hivi yeye kusifiwa ni fashion anajua litakuwa gumzo la nchi. Anajua ni jinsi gani atawaangusha wale wote wanaomsifia tu.Hapo ndio siri ya urembo ua kutokusafiri ama kukutana na wanaotumia lugha ya malkia.
Poor background of language make you think English is the only language used on international layers. Very sorry to read this.
 
Poor background of language make you think English is the only language used on international layers. Very sorry to read this.
kujua kiingereza siyo kwamba ndiyo kuwa na IQ kubwa!!!! mbona hata vichaa wanajua kiingereza hats Malaya wanajua kiingereza hats mahousegirl wanajua kiingereza!!! wajerumani haitambui lugha ya kiingerrza lakini wana IQ kubwa mno hata waisrael wana IQ kubwa mno lakini hawajui kiingereza

watanzania acheni huu utumwa wa akili
 
Siyo kosa kifikra kwa wale watu wanaoshangaa kwa nini Rais Magufuli hajaonekana kwenye karamu ya mabalozi wa nchi.

Tatizo mlijengewa fikra kuwa Rais ni kiongozi wa kuonekana onekana katika kila hafla hata zile ambazo madaraka yake amekasimu kwa watendaji wengine, ndiyo maana kulikuwa na foleni pale ikulu ya watu wenye matatizo ambao wametoka sehemu mbali mbali nchini wakati kuna watendaji waliokasimiwa kazi hizo katika maeneo wanayotoka.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje ndiye amekasimiwa shughuri za Mabalozi.

Boss wa mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao ni Waziri wa Mambo ya nchi za nje, Dkt. Mahiga.

Hata kazi za kupokea hati za utambulisho wa Mabalozi kutoka nchi za nje kimantiki haiwezi kufanywa na Rais. Hii ni kazi ya Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ambayo iko chini ya Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje.

Rais Magufuli anarudisha heshima ya kuwa Rais wa nchi.
Mkuu soma tena bandiko lako ujiridhishe na ulichosema!
Naogopa kukujibu
 
Back
Top Bottom