Kulikoni Dkt. Magufuli kutohudhuria karamu ya Mabalozi Ikulu?

Basi kwa stahili hii ajiandae kukaa Tz miaka yake mitano ya urais hatopata mualiko hata wa nchi rafiki.

huko nje ataenda jamani,hajasema hatokwenda ila kwa sasa amesema serikalini amekuta mambo mengi ya ajabu ndio anayaweka sawa. na hiyo mialiko mbona watampa tu mpk mingine atabid aikatae.
kwa sasa inabidi tumsupport rais wangu na kuyaona maono yake positive kuliko kumkosoa pasipo msingi
 
Tutaandaa bajeti yetu ijayo kulingana na vipaumbele vichache na hatutaki pesa za nje. Tutachagua vipaumbele vichache na kuvifanyia kazi. Mabadiliko ni lazima. Hatuwezi kuendelea kusumbuliwa na masharti ya kipuuzi ya wahisani.

Eeeh, eti umesema nini hapa?

Utatoa wapi wewe Trilioni zaidi ya 40 ili mjenge reli zote kwa kiwango cha standard gauge in 5 or 10yrs times??

Unadhani hiyo ni muda mwingi sana siyo?

Kwa mawazo haya mimi siwezi hata kusema kwamba "I HOPE HE FAILS" lakini, It's confidently to say that HE WILL ABSOLUTELY FAIL!!!

Kila mtu anapenda kujitegemea, kila taifa linapenda kujitegemea kiuchumi........Tanzania bado hatujawa tayari kwa hili na ni kwa sababu CCM kwa miaka zaidi ya 50 imeshindwa kujenga uchumi imara utakaotuwezesha kujitegemea kwa kutumia misaada kidogo wanayotupatia hawa jamaa ambao leo eti tunataka kusema we no longer need them!

Narudia tena kusema, Not now bro.......more less, si sasa tukiwa chini ya utawala wa CCM!!!

Ukitaka kujua hili likuambialo hapa kuwa ni ndiyo, muulize Robert Mugabe (rais wa Zimbabwe na rais mwenye misimamo na pengine jeuri kuliko wote Afrika kwa sasa) ambaye leo watu wake wana njaa ya kufa mtu na anaomba msaaada wa chakula tu kwa ajili ya watu wake toka jumuiya za kimataifa!!
 
Kila jambo lina mwanzo na kila hatua ya kimageuzi ina gharama zake na gharama ni painful. So hatutasikiliza watu pessimists kama wewe. China ambayo inaongoza uchumi wa dunia leo hii pia ilikuwa na painful start.
 
... una maana alipewa masharti ya kuongea English?
Kwani English ni nini? Ongea kiswahili chako, wazungu watafute mkalimani. Kwani unadhani ukienda China Rais wake atakuongelesha kiingereza? Shame
 
English ni Lugha ya Taifa la Tanzania kama ilivyo Kiswahili. Ndiyo maana hata hotuba ya Rais iliandikwa kwa Kiingereza. Hiyo China unayoikariri kama kasuku English siyo lugha yao ya taifa. Shame on you
 
Sasa naanza kuamini lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwa mkuu wa kaya. Na kwa vile sasa hivi yeye kusifiwa ni fashion anajua litakuwa gumzo la nchi. Anajua ni jinsi gani atawaangusha wale wote wanaomsifia tu.Hapo ndio siri ya urembo ua kutokusafiri ama kukutana na wanaotumia lugha ya malkia.
Kwenye kikao palikua na wazungu??? Lugha gani ilikua inatumika??
Sijui atakimbia hivi hadi lini? Ni bora akafungua darasa la kiingereza pale Magogoni. Mbona walimu wazuri wa kiingereza hata humu JF wamo?
Ras Simba achangamkie Deal Hilo.
 
raisi amekosea sana. Hii haikubaliki. Jk tunamtukana yule baba hafai lakin alikuwa muungwana.

magufuli ni majanga aise au mwendawazimu naweza kusema
 
Hakuna Majibu yoyote, Huo Unaitwa Utetezi, au Visingizio, Excuses, Kwani Alikuwa Nje ya Dar es salaam Kutokana na maafa au dharura? Kwani Alikuwa hajui Ratiba ya Huo Mwaliko Kabla ya Kweda "Nje ya Dar"? Je Huko alikoenda kulikuwa na Umuhimu zaidi? What was Priority between the two events, why could he not send somebody else, "Outside Dar es salaam on his behalf so that he could meet and address the Ambassadors personally?

lion_running.JPG
, "HAPA KUSEPA TU"
 
Kaka ungeijua maana halisi ya dharau usingeandika haya yote uliyoyaandika. Hayo meeengi uliyoyaandika hayana uhusiano na mada. Gharama za uchaguzi zinaingiliana vipi na sherehe ya mwaka mpya kati ya Waziri Mahiga na mabalozi Ikulu?.

Kwa Hiyo Unaamini hatujui Dharau Nini?
1)Dharau ni Kama Kuwaita Watanzania Wapumbavu
2)Dharau Ni kama Kusema Lowassa Kaji sijui Nini, Mbelle ya watu Na Magufuli anachekelea bila Kukemea
3) Dharau Ni hivyo Vikaratasi vya A4 vimeprintiwa na Kuwawekea mabalozi miguuni, halafu tunaambiwa ati zilikuwa Karatasi Maalumu! UWONGO,

Tuliache hili swala liishe, Ila I like to answer my critics, when people spin the facts, time is the answer! Bado kuna Muda wa Kujua Kama sisi tunapiga Porojo au tuna hoja ya Muhimu.
 
Kila jambo lina mwanzo na kila hatua ya kimageuzi ina gharama zake na gharama ni painful. So hatutasikiliza watu pessimists kama wewe. China ambayo inaongoza uchumi wa dunia leo hii pia ilikuwa na painful start.
Nyie nahisi ndiyo wale wa "ndiyo mzee" mnaotekeleza mambo kwa kufuata mkumbo tu bila hata kuhoji kwa nini iwe hivi au vile!

Mabadiliko yoyote yanajengwa juu ya mifumo na misingi
imara na sio ktk UTASHI na HULKA ya mtu mmoja kiongozi mkuu tu!!

Don't compare yourself with China kwa sbb mabadiliko yao ya kiuchumi na kisiasa yanaoongozwa na yaliongozwa na mfumo imara uliowaweka watu na taifa lote kufanya kwa umoja na wote wakiwa wanajua wanaelekea wapi!

Tell me, leo hii sisi tunaongozwa na nini kama Taifa? Si kwamba tunatenda kwa maagizo na hulka za ki Magufuli tu? What will happen if Magufuli goes today? Si kwamba tutarudi kule kule!?

Therefore, mm niko so optimistic na ninachokiona kinatendeka na ninachokisema hapa. I am afraid to say that, it's you who is pessemistic not me kwa sbb I am sure what is happening now is not sustainable!!

Just look. JPM few days ago alitembelea Muhimbili hospital akaagiza na kusimamisha na kufukuza kazi watu hoping kwamba matatizo ya muhimbili yamekwisha.

Ndani ya miezi miwili anarudi hapo amekuta matatizo yaleyale yapo tena yakiwa makubwa zaidi, mrundikano wa wagonjwa wakiwa wanalala chini,hakuna
vitanda. Nini sasa hicho? Simply ni kwa sbb, positive change hayawezi kupatikana kwa kauli za mimi ni rais........, mimi ndiye Magufuli naagiza........ nk!!

Tumeona juzi katoa agizo mahakama wapewe fedha Tshs 12.3bn ili eti waweze kuamua kesi za ukwepaji kodi haraka na serikali ipate mapato. The question is that sustainable? Kwa nini tusiweke vitu hivi ktk mifumo na misingi imara ambayo hata atakuja kiongozi chizi fulani atembee kwenye mfumo huo badala kuongozwa na utashi na maamuzi ya mtu?

Ndiyo maana nakuambia wenzetu kama hao wachina, Japan, na nchi nyingi za Asia hawakufuata njia hii hadi wakafika hapo walipo leo. Walitengeneza mifumo ambayo kweli walianza in a hard way na ku feel pain lakini wote walikuwa kitu kimoja na uelekeo mmoja kama taifa!!

Think, then come back for more discussion about this
 
kuwa wewe rais maana naona kila jambo linalofanywa unaponda.watu kama wewe ni majanga.
 
Back
Top Bottom