Kulikoni Dkt. Magufuli kutohudhuria karamu ya Mabalozi Ikulu?

Mkuu kuuliza masuali basi ni moja kati ya learning principles and there is no silly question! Ninachozungumza mimi ni kwamba kwenye suala la foreign politics basi ni bora mcheza muziki Diamond anatuwakilisha vyema Tanzania kuliko Magufuli.Mbona wengi tu tunaliona hivyo! Hutaki unaacha.
Kama unaishi na maumivu moyoni kwanini usifanye mpango ukahama nchi?. Nenda sehemu ambako hutakuwa na kinyongo, ambako utaishi huku akilia yako ikiwa na amani, kuliko kuumia moyo. Maana kama miezi mitatu ya Magufuli unaumia kiasi hiki, hali itakuwaje ikifika 2019?. Foreign Politics wewe huzijui ndio maana unaishia kuuliza maswali ya ajabu kuhusiana na protokali za kawaida za Ikulu. There is a silly question, kama unaamini kuwa Diamond anaiwakilisha nchi kuliko Rais ambaye ni mamlaka ya juu zaidi katika nchi, huoni kwamba upo uwezekano wa maswali yako kuwa silly?.
 
mkuu tuliza mzuka.....hakuna mtu anyeabudu lugha za watu hapa. rudia tena kusoma post upya...kinachoongelewa hapa ni KUKACHA kwa magufuli kuonana na mabalozi kwa sababu inayoweza kuzuilika. ndio maana watu tunajiuliza: kama tatizo ni ngeli anaonaje aibu kumtumia mkalimani? mbona hawa marais unaowataja wao wakija hapa huja na wakalimani? umeelewa HOJA sasa? haya, njoo sasa ukatoe mchango wako.
Hii hoja ni ndogo na ni nyepesi sana. Kwa mujibu wa portfolio Waziri Mahiga yupo kwenye ngazi moja na hao mabalozi. Actually JK alikuwa anafanya hisani kubwa kuongea na mabalozi. Rais yupo kwenye ngazi moja na marais wenzake. Rais halazimishwi kuongea na mabalozi, anayo mamlaka ya kumwambia Mahiga aongee nao, kwani Mahiga yupo kwenye rank moja na mabalozi, kikazi mabalozi wapo karibu zaidi ya Mahiga kuliko Magufuli. Na hii ni sherry party ya kwanza tu, zipo nyingine nne kabla ya uchaguzi wa mwaka 2020. Mambo madogo sana yanafanywa makubwa.
 
Hivi kwa mujibu wa portfolio Magufuli yeye yupo ngazi moja na nani katika dunia hii? ama yeye ni malaika?
 
Nimeshangwaza na hili la mabalozi kusimamishwa pembeni mwa majina yao sakafuni! Zaidi ya udhalilishaji bonge la diplomatic incident. Yote wametetea haki ya Wanzazibari. Hii siyo tamaduni yetu hata chembe tunakwenda sipo.

Hata Mimi hilo la Majina Sakafuni, Limenitia aibu, Kiasi cha Kutaka Kulia, hata wewe angalia Nyuso zao? Wamekuwa Paka? Inatakiwa Ukaribishaji uandaliwe Kwa kuchapisha Name Badge za Kila Balozi, Halafu anakuwepo Mhudumu Mlangoni, Na Kila akipita Balozi anaavalishwa Badge yenye jina Lake. Au Kunakuwepo na Meza za Dhifa, Na Majina yao yanawekwa Kwenye Vibao Vidogo Mbele ya Meza zao.
Kama hapo chini!
PeopleBadges.jpg

58062.jpg
 
Marandu usiyakariri maisha ya watu wengine. Ingeandaliwa party kubwa ni nyinyi ambao mngesema kuwa serikali inatumia fedha nyingi kwenye sherehe moja tu wakati kinamama vijijini wanatembea kilomita kumi kutafuta bomba la maji. Mambo mengi ni madogo sana yasiyohitaji mjadala mrefu.
 
Ok ili tusifanane na wengine, how far can we go, CCM, anzeni Kuvaa Makatambuga badala ya Viatu, Kaniki Badala ya Suti, Na hata ndevu mnyoe kwa Vipande vya chupa badala ya nyembe. Hivi Kuchapisha Badge za Wajumbe wa Mikutano Muhimu ya Kitaifa kwa sababu za Kiusalama na Utambulisho Ni gharama sana kwenu CCM, Lakini Kufuta Matokeo ya Uchaguzi, (Sio Kufuta Uchaguzi) Na Kurudia Uchaguzi kwa Mabilioni sio gharama! Who are you trying to bufoon here? Kutumia Biioni zaidi ya 300 Kufanya Mchakato wa Katiba, halafu mnaifanyia mizegwe na kupoteza fedha hizo sio gharama.
Kuweka Vikaratasi tena A4 chini Kutambulisha Mabalozi ni kuwadharau, Don,t do it again please!
 
Serikali hii imezowea kutoa majibu mepesi kwa masuali magumu! wanatufanya watanzania kama watoto wadogo sana.
 
Watu wa lumumba mnajidai hamjui tatizo la Rais,tatizo hili ni la aibu lazima lifichwe mpaka amalize tuition. Tatizo ni lugha ya malikia..! Kwenda kwa mabalozi hao wasiojua kiswahili hata kidogo,halafu akaeleze dira ya nchi baada ya kuchaguliwa ingekuwa aibu tena mbele ya kamera.
tena aibu yake ingekuwa mbaya kuliko HII HAPA
 
Ok ili tusifanane na wengine, how far can we go, CCM, anzeni Kuvaa Makatambuga badala ya Viatu, Kaniki Badala ya Suti, Na hata ndevu mnyoe kwa Vipande vya chupa badala ya nyembe. Hivi Kuchapisha Badge za Wajumbe wa Mikutano Muhimu ya Kitaifa kwa sababu za Kiusalama na Utambulisho Ni gharama sana kwenu CCM, Lakini Kufuta Matokeo ya Uchaguzi, (Sio Kufuta Uchaguzi) Na Kurudia Uchaguzi kwa Mabilioni sio gharama! Who are you trying to bufoon here? Kutumia Biioni zaidi ya 300 Kufanya Mchakato wa Katiba, halafu mnaifanyia mizegwe na kupoteza fedha hizo sio gharama.
Kuweka Vikaratasi tena A4 chini Kutambulisha Mabalozi ni kuwadharau, Don,t do it again please!
Kaka ungeijua maana halisi ya dharau usingeandika haya yote uliyoyaandika. Hayo meeengi uliyoyaandika hayana uhusiano na mada. Gharama za uchaguzi zinaingiliana vipi na sherehe ya mwaka mpya kati ya Waziri Mahiga na mabalozi Ikulu?.
 
mkuu tuliza mzuka.....hakuna mtu anyeabudu lugha za watu hapa. rudia tena kusoma post upya...kinachoongelewa hapa ni KUKACHA kwa magufuli kuonana na mabalozi kwa sababu inayoweza kuzuilika. ndio maana watu tunajiuliza: kama tatizo ni ngeli anaonaje aibu kumtumia mkalimani? mbona hawa marais unaowataja wao wakija hapa huja na wakalimani? umeelewa HOJA sasa? haya, njoo sasa ukatoe mchango wako.
Wewe nani alikwambia kwamba rais amewakimbia mabalozi kwa sababu ya lugha?hao mabalozi wenyewe wote wanajua English ? Watu wazima mmekosa issues mpaka mnajadili usnge! english!english! watafak ? Magu anajua english, after all hata kama hajui soo?
 
Na nyinyi pia muache kutoa majibu mepesi mepesi kwa watanzania. watanzania wa leo si wale wa 1961.
Kwa aina ya mtanzania kama wewe unaeleweshwa zaidi ya mara kumi kitu hicho hicho kimoja, sidhani kama yanahitajika majibu magumu. Ikiwa uwezo wa kuelewa wa asilimia kubwa ni kama huo wa kwako, kwanini mtoa majibu ajihangaishe kutafuta majibu magumu. Masuala ya muhimu na ya kijinga mnashindwa kuyatofautisha, halafu mnataka anayewajibu aumize kichwa, kwa lipi hasa!!.
 
Back
Top Bottom