Kulikoni always?

kissgarage

Member
Mar 28, 2009
80
139
Habari zenu wana-JF.
Mimi nilikua mdau mkubwa wa sanitary pads aina ya always. siku hizi zimekua replaced na freestyle. lakini free syles zenyewe kwa maoni yangu hazina ubora kabisa ukilinganisha na always. what is going on? kiwanda kimeacha kutengeneza au? sababu ukiangalia freesytle super plus ni kama wanakutania vile. jamani hili limenigusa peke yangu? akina mama na pia wengineo karibuni. shukrani
 
Mh. Kwanza Karibu Jamvini. Habari yako?
Ningekushauri hebu pitia hii thread na uiweke vizuri. Ulete hoja ambayo itaamsha mjadala. Jinsi ilivyo kaa mimi naona bado you need to construct it.
Ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom