Kulevya kwa kumuwekea mtu mkojo ndani ya bia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Nasikia kuna baadhi ya minjemba ikimpa ofa mwanamke, inamwekea kiujanja mkojo ndani ya kinywaji anywacho (mostly kwenye vileo). Baada ya hapo binti anakuwa taabani na jamaa anatumia fursa hiyo kumtenda binti chochote atakacho, maana anakuwa kalewa hajitambui.

Pia nasikia kuna club moja maarufu jijini Dsm pande za O bay, wahudumu wake wakikushtukia kuwa una noti nene wanakuwekea mkojo kwenye bia kisha wanakuibia vyote ulivyonavyo.

Je wewe ni kipi ulichokisikia utujulishe?
 
hii ni teknolojia ya zamani sana ya machangudoa......ya kumuibia mteja.....kuna mpya.....stay tuned......
 
We unakua wapi mpaka aweke mkojo kwenye bia? Ukinywa bia akikisha haubanduki kwenda chooni kama haujamaliza kinywaji.........
•Ukiagiza bia mwambie akupe glass nyingine kama ulitoka kwenda chooni halafu chukua bia ile safisha glass kwanza then ndio uanze kigida!
 
hiyo ishu ya mkojo ni uzushi wa enzi zile za mazungumzo baada ya habari RTD...
Kitu ambacho nimeshakifanyia majaribio na kunipa ushindi ugenini basi ni kitendo cha kuweka ugolo kwenye Bia ya manzi niliekuwa namtamani kitambo ila ye akawa anaringa...

Alilegeaje?
Nikajitwika begani kisha nikaenda mfturu....
 
hiyo ishu ya mkojo ni uzushi wa enzi zile za mazungumzo baada ya habari RTD...
Kitu ambacho nimeshakifanyia majaribio na kunipa ushindi ugenini basi ni kitendo cha kuweka ugolo kwenye Bia ya manzi niliekuwa namtamani kitambo ila ye akawa anaringa...

Alilegeaje?
Nikajitwika begani kisha nikaenda mfturu....

kaka u made my day!chukua like hio!
 
Vp wakuu hamkufanya research ya hii mambo wakati wa shamrashamra za Sikukuu!!
 
Kuna moja hiyo ambayo demu akiwekewa inamfanya anakua horny (na hamu) akishainywa yeye ndo anakua anakulazimisha wanasema wanatumiaga hiyo kwa wale mademu wanaojidai wagumu so kuweni makini mkitaka mkienda toilet wakati uko mahali na mtu hakikisha umemaliza kinywaji chako au ukichukue toilet :happy:
 
Back
Top Bottom