Kuleni chakula bora, mfano wa kuigwa.

Nimependa hii menu Ugali wa mtama kwa wale wenzetu wa Musoma..
Hapo unashushia na samaki mbichi kawekwa limao na pilipili kwa mbali..
Lakini hapo watamaliza huo ugali mbona mkubwa sana?
 
Back
Top Bottom