Kulamba matapishi yako mwenyewe...........lol

pole sana.
Akitaka kurudi chunguza,si ajabu anarudia wallet yako!

wallet sidhani zaidi nionavyo ni ukigeugeu.......kushindwa kutafakari anahitaji nini...........
 
Wasohaya wana mji wao, wapo wengine wanaongea mbovu na kujiapiza sirudi katu sirudi,mara ghafla bin vuu unamuona kama sio yeye wala aibu haoni na samahani fake kwa wingi........

inashangaza kuona mtu aliishia kwa gia kubwa na kiuno kukutikisia.................kuwa yeye bado kabisa wamo ndani ya soko..............ikimaanisha wewe haumo lakini baada ya kukurukakara za hapa na pale adai yaani wewe ndiye the best 4 her............how comes?
 
Ni sahihi kutegemeana na nini kiliwafikisha kwenye kutapishana kabla, kuna hasira, kuna kuwa mis-informed, kuna tamaa...wakati mwingine kama nafasi ya kujirudi ipo, si vibaya ukiyalamba matapishi yako,kwa mustakabali wa furaha na amani yako ya maisha yajayo.

kuna furaha ya maisha yajayo kwa usaliti wenye kithiri hii...........?
 
Dena ulipotelewa wapi nilikuwa ninaanda makala ya kutangaza obituay yako......afadhali umeniwahi.................akipata nitashukuru sana kwa sababu furaha ya mvuvi ni kuvuja kwa pakacha..................

Nipo nimejaa tele majukumu yamezidi sana si unajua tunashinda kutafuta ugali.....................

Haya nambie kulikoni???
 
Ruta jibu sahihi ni hili, now I'm back with a purpose. Malengo hayo ndiyo yaliyomfanya alambe matapishi. Mkuu umeshatagatiwa.

Mzee wa Rula...............isije ikawa ni ule usemi usemao................."mcagua jembe siyo mkulima......" ninafikiri hapo ni kulilima shamba mara ya pili.......................kinginecho ni kiswahili tu...............tu bora liende
 
Nipo nimejaa tele majukumu yamezidi sana si unajua tunashinda kutafuta ugali.....................

Kama ni ugali ndiyo unakuweka mbali nami basi mwaka huu niandike nimeumia kwa sababu kazi ya kuutafuta ugali 2012.........itakuwa mauzauza tupu....................................
 
Kama ni ugali ndiyo unakuweka mbali nami basi mwaka huu niandike nimeumia kwa sababu kazi ya kuutafuta ugali 2012.........itakuwa mauzauza tupu....................................

Ha ha ha ha wewe bana si tunawasiliana kwa njia nyingi si lazima hapa my dear???? Mwaka 2012 kweli ni balaa maana mambo si mambo
 
Mzee wa Rula...............isije ikawa ni ule usemi usemao................."mcagua jembe siyo mkulima......" ninafikiri hapo ni kulilima shamba mara ya pili.......................kinginecho ni kiswahili tu...............tu bora liende

Mkuu lazima uwe na uchaguzi, achana na shamba hilo litakuwa lilijiona linarutuba sana kumbe ni si lolote wala chochote. Anza safari nyingine upya ikibidi.

Ni mtazamo tu.
 
Ha ha ha ha wewe bana si tunawasiliana kwa njia nyingi si lazima hapa my dear???? Mwaka 2012 kweli ni balaa maana mambo si mambo

jembe langu lipo mkononi acha nikapalilie maharagwe yaje kuninusuru na hii njaa ya 2012.........see u later bye.......
 
Mkuu lazima uwe na uchaguzi, achana na shamba hilo litakuwa lilijiona linarutuba sana kumbe ni si lolote wala chochote. Anza safari nyingine upya ikibidi.

Hizi ni busara tupu mkuu..........................expecting to meet u; this agonizing 2012, in person Bye 4 now...................
 
Ukila yakirudi juu?
I prefer letting the past be the past, kuna sababu iliyofanya ukaachana na huyo mtu in the first place, na ukirudiana na kuna nafasi ya kilichowakorofisha kuwakorofisha tena.
 
Hivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako mwenyewe....................kisingizio huwa.............ni..........no love lost....................au nimegundua niliteleza.................now I'm back with a purpose

Pole sana mkuu yamekukuta haya fanya kumeza tu ili siku ziende na uburudishe nafsi
 
Pole mkuu RUTA...unajua hayo mambo ya kutapika na kurudi kulamba wakati mwingine ni hasira inachafua hali ya hewa...mtu anatapika...sasa hali ikiwa shwari kichefuchefu kikiisha anajilaumu kutapika hivyo unamlazimu kurudi na kulamba. ila kuna wanapika for good. Sababu zikiwa za msingi na zenye mashiko kwa upande zote basi hakuna kurudia matapishiiiii
 
Ukila yakirudi juu?
I prefer letting the past be the past, kuna sababu iliyofanya ukaachana na huyo mtu in the first place, na ukirudiana na kuna nafasi ya kilichowakorofisha kuwakorofisha tena.

ukim'mwaga m'mwage kiujumla....................kama usemi usemao............ukitaka kumwua nyani usimtazame usoni.......
 
Pole mkuu RUTA...unajua hayo mambo ya kutapika na kurudi kulamba wakati mwingine ni hasira inachafua hali ya hewa...mtu anatapika...sasa hali ikiwa shwari kichefuchefu kikiisha anajilaumu kutapika hivyo unamlazimu kurudi na kulamba. ila kuna wanapika for good. Sababu zikiwa za msingi na zenye mashiko kwa upande zote basi hakuna kurudia matapishiiiii

Tafuta mlo fresh mbona ipo mingi mtaani?
 
Back
Top Bottom