Kulaleki!! Kumbe mwanadada anavyokuwa na sauti ya mvuto ndivyo anavyokuwa na nafasi ya kudanganya.

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
"The more attrective the voice for a lady, the higher the pitch and the more likely the chances she will cheat". Is it true? Please justfy it or dissaprove. Wana JF kuna ukweli wowote wa jambo hili, tafadhali msaada nahitaji elimu juu ya hili jambo.
 
Kibirizi leo uko na wadada tu kulikoni?? Ngoja tusubiri wadau waje waseme!
 
"The more attrective the voice for a lady, the higher the pitch and the more likely the chances she will cheat". Is it true? Please justfy it or dissaprove. Wana JF kuna ukweli wowote wa jambo hili, tafadhali msaada nahitaji elimu juu ya hili jambo.

labda utusaidie Kibirizi,
hiyo attractive voice ndo ikoje?
 
mm nina maoni tofauti wanawake wameumbwa kukuvutia ww kwa sauti,umbo,vazi nk ni njia mojawapo ya kukuvutia hata tausi hujitanua kuonyesha rangi za mabawa yake kuvutia dume nk sidhani kama akiwa na sauti nzuri ndio atakudanganya au kukusaliti.inategemea kama hajiigizi kukupenda ili akuchune lakini ni kwa asilima ndogo sana ya hao.
 
hahahahah lol
kuna raha kweli JF

jana kuna mtu kaleta "angalia condom" ka wataka kujua mtu wako ana cheat
leo mleta "sauti" khaaaaaa
Kesho nini tena????

embu acheni kutafuta visingizio
na sababu zisizo na msingi wowote..
 
Back
Top Bottom