kulalamika.....

dry seaman

New Member
Oct 27, 2010
4
0
mkuu naomba kuwasilisha,hivi ni kwanini kila mtu analalamika tu?prezida analalamika...... pm...... waziri wa..... katibu mkuu...... mkurugenzi wizarani......mkuu wa mkoa.....mkuu wa wilaya....... mkurugenzi wa jiji....wa mji.....wakuu wa vyuo.....walimu....wanafunzi....
wote hawa wanalalamika juu ya maisha duni kwa watanzania hivi ni nani hasa atakuja na majibu sahihi ya utatuzi?
 
Upeo wetu wa kimaisha na kifikra, mfumo tulionao na mazingira pia yanayotuzunguka yanatufanya kuwa na maamuzi duni yanayotufanya kulalamika kila wakati.
 
mkuu naomba kuwasilisha,hivi ni kwanini kila mtu analalamika tu?prezida analalamika...... pm...... waziri wa..... katibu mkuu...... mkurugenzi wizarani......mkuu wa mkoa.....mkuu wa wilaya....... mkurugenzi wa jiji....wa mji.....wakuu wa vyuo.....walimu....wanafunzi....
wote hawa wanalalamika juu ya maisha duni kwa watanzania hivi ni nani hasa atakuja na majibu sahihi ya utatuzi?

sasa kwa nini na wewe unalalamika watu wakilalamika?
 
kwasababu hapendi kuona watu WAKILALAMIKA..

NAMIMI SIPENDI KUONA mtu analalamika aimwona mtu analalamika kwa sababu watu wanalalamika...

hpful sjalalamika...so u do the samae usilalamike kwa kuwa sijalalamika ila yule pale alalamike kwanini sjalalamika kwakuwa mazingira tuliyomo yanatulazimu kulalamika...!!!!!!!!

nawasilisha malalmiko so usilalamike cz nimeshakulalamikia.
 
ujue hakuna usawa katika mambo mengi, na hii baadaye itakuwa ni action. wakubwa kama wanalamika basi wanalalamikia mgao mdogo kwenye madili ya ufisadi.
 
nchi yetu ni ya malamiko kwa kuwa uhuru tulipewa bure tukashindwa kuutumia hii ni adhabu kutoka kwa Mungu, manaa akili tunayo maji, ardhi, na madini lakini tumeshindwa kuvitumia badala yake tuna siasa uchwara hatuna uongozi bora, ni bora liende!!
 
kwasababu hapendi kuona watu WAKILALAMIKA..

NAMIMI SIPENDI KUONA mtu analalamika aimwona mtu analalamika kwa sababu watu wanalalamika...

hpful sjalalamika...so u do the samae usilalamike kwa kuwa sijalalamika ila yule pale alalamike kwanini sjalalamika kwakuwa mazingira tuliyomo yanatulazimu kulalamika...!!!!!!!!

nawasilisha malalmiko so usilalamike cz nimeshakulalamikia.
Duh!Wewe kweli MALENGA.
 
huyu rose80 amekosea kusema hii ila alikua anamaanisha kwamba kulalamika ni kaugonjwa kontejans yaani kakiubuka sehemu lazima waathirika walalamike waambukize wenzao na wenzao wengine na wengine na wengine .............hadi katakotatuliwa. yeye amekubali ni mwathirika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom