RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,834
Sasa unataka wakadirie vipi? Huna efd,huna mtunza hesabu au ndio unaanza biashara.Kwanini watumie maelezo kukukadiria, hili ndo tatizo haswa. Pia inategemea nani unampa maelezo, wengine hawaelewi wanajua kukupangia tu cha kulipa.