Kulala uchi na mchumba wako bila sex wala romance kuna ubaya??

mama mia asante sana nilitoka kwenye topic baada kusoma kidogo na kuona uvivu akili nyingine ikaniambia hebu rudi kwenye hiyo topic kuna jambo unapaswa kutambua wewe mama wa kizamani ...

Hahaha nimejifunza jambo mpendwa be blessed ..ngoja nikakupe haki yako pale paliponikuna ...

usiache kumtukuza bwana unapofanikisha unapofanikiwa
 
Ni vibaya tena sana, kwa nini mfanye hivyo while nia yenu ni kutofanya sex.
na kama mmelala uchi, there is no way msi fanye sex.
 
Nimependa hii kama wanawake mnatambua kama msipojituma mnamwagwa!! Na siku hizi hili limekuwa tatizo kubwa sana miongoni mwa ndoa nyingi hasa baada ya mihangaiko ya maisha kuwa mingi na migumu!

Unakuta mama ni banker say kamaliza kazi saa 2 usiku, aingie kwenye foleni, afike home na aanze kuangalia homework za madogo akijitahidi atalala saa 5 usiku. Sasa hapo kama ni game litakuwa ilimradi sidhani kama kutakuwa na flavour!

Wanaume tujaribu kuwa selective on when and how best SEX should be done!!!!!!
 
Duh...nimeshindwa kuzoma ...naona kweli nimezoea vifupi fupi..FL1 msaada kwenye tuta..
 
Mtumishi
nafikiri wajibu wangu nikiwa kwenye ndoa kutoa msaada kwa wenye ndoa popote pale
nikiwa kama mtumishi sijakosea kuwaelimisha ni dhambi kutompa mwenzio haki yako
imeandikwa so tukijua tatizo atuna budi kuelimishana hata kama ni kwa hela
wengine wananunua masomo kama haya m nayapata kwa mpendwa anagawa bure ufurahii
haya mpendwa pole kwa kuukuuzi
 
Nimependa MAMA MIA ulivyowakumbusha wake/hawara zetu nini cha kufanya ktk uwanja wa seremala.

Hongera nad keep it up.
 
mama mia ......................baada ya hapa njoo utoe ufundi wa kina ....

tunatakiwa kufanya nini wapi saa ngapi! lol
 
nina mashaka na huyu mama mia, wewe ni mlokole? MBONA UNAONGEA MAMBO YA MTAANI SANA? sidhani kama umewakilisha ujumbe kwa njia sahihi, badala ya kujenga naona unaharibu, au umeamka vibaya leo....au kuna kitu kimekutibua mwilini, sijakuelewa kabisa kwenye post zako.
 
Kiungo Kimoja tu!

Kwa mwanamke, raha anayopata kutokana na kufanya mapenzi (sex) na mume wake ni muhimu sana katika kukupa faraja na kuendelea kuwa na uhitaji wa sex mara kwa mara na mumeo.

Tafiti nyingi (mfano WebMD, DrPhil) zinaonesha kwamba ni asilimia 50 -75 ya wanawake hawawezi kufika kileleni kwa njia ya kawaida (vaginal stimulation).

Hii ina maana uume kuwa ndani ya uke na kuendelea na misuguano ya kuingia na kutoka kwa kila kona na pembe bado ni vigumu kwa mwanamke kufika kileleni.

Hii haina maana kwamba mwanamke huwa hapati raha ya kimapenzi bali kiwango cha raha (enjoyment scale) ni ndogo ukilinganisha na mwanamke ambaye katika tendo la ndoa huwezeshwa kufika kileleni (orgasm).

Je, siri ipo wapi?

Siri ipo katika kiungo kimoja tu ambacho kinapatikana katika mwili wa binadamu ambapo huwa na nerves nyingi kuliko kiungo chochote katika mwili wa binadamu (mwanaume na mwanamke) yaani kisimi/kinembe/clitoris.

Pia ni jambo linaloshangaza sana kwani kuna wanaume wengi na wanawake wengi (wamo madaktari, mainjinia, wabunge, mawaziri, marais, mashujaa mbalimbali, wachungaji, matajiri, maskini, wanaoishi mijini, wanaoishi shambani, wazungu, waafrika nk) hawaijui chochote kuhusiana na umuhimu wa hiki kiungo katika suala zima ya raha ya sex.

Bottom line ni kwamba wanawake wengi huhitaji kusisimuliwa kisimi/kinembe kwa kila aina ya sanaa (manually & orally) kabla na wakati wa tendo la ndoa ili aweze kufika kileleni.

Mapenzi ni sanaa na kwa kuwa ni sanaa hivyo kuna tips nyingi tu za mke na mume kusherehekea raha ya mapenzi hata hivyo kwa leo tuishie hapa.

Mama Mia umesema kweli tupu. Maraha yote ya tendo la ndoa yamelala hapo kwenye hicho kiungo pamoja na kuwa Wanawake wanaenjoy hata kama hiyo clitoris haichezewi lakini kama ikichezewa maraha huongezeka sana kupita kiasi. Wanaume tunaambiwa sana kwamba wengi wakimaliza hutaka kulala na Wanawake pia wanaofikia kileleni kwa kuchezewa clitoris wengi huuchapa usingizi baada ya dakika chache tu kutokana na relaxation kubwa wanayoipata baada ya kufikia kileleni na cha kustaajabisha wengi waliobahatika kufikia kileleni kwa kuchezewa clitoris ukiwauliza waeleze raha wanayoipata kufikia kileleni wengi husema kwamba huwa WANAPAA.
 
Kiungo Kimoja tu!

Kwa mwanamke, raha anayopata kutokana na kufanya mapenzi (sex) na mume wake ni muhimu sana katika kukupa faraja na kuendelea kuwa na uhitaji wa sex mara kwa mara na mumeo.

Tafiti nyingi (mfano WebMD, DrPhil) zinaonesha kwamba ni asilimia 50 -75 ya wanawake hawawezi kufika kileleni kwa njia ya kawaida (vaginal stimulation).

Hii ina maana uume kuwa ndani ya uke na kuendelea na misuguano ya kuingia na kutoka kwa kila kona na pembe bado ni vigumu kwa mwanamke kufika kileleni.

Hii haina maana kwamba mwanamke huwa hapati raha ya kimapenzi bali kiwango cha raha (enjoyment scale) ni ndogo ukilinganisha na mwanamke ambaye katika tendo la ndoa huwezeshwa kufika kileleni (orgasm).

Je, siri ipo wapi?

Siri ipo katika kiungo kimoja tu ambacho kinapatikana katika mwili wa binadamu ambapo huwa na nerves nyingi kuliko kiungo chochote katika mwili wa binadamu (mwanaume na mwanamke) yaani kisimi/kinembe/clitoris.

Pia ni jambo linaloshangaza sana kwani kuna wanaume wengi na wanawake wengi (wamo madaktari, mainjinia, wabunge, mawaziri, marais, mashujaa mbalimbali, wachungaji, matajiri, maskini, wanaoishi mijini, wanaoishi shambani, wazungu, waafrika nk) hawaijui chochote kuhusiana na umuhimu wa hiki kiungo katika suala zima ya raha ya sex.

Bottom line ni kwamba wanawake wengi huhitaji kusisimuliwa kisimi/kinembe kwa kila aina ya sanaa (manually & orally) kabla na wakati wa tendo la ndoa ili aweze kufika kileleni.

Mapenzi ni sanaa na kwa kuwa ni sanaa hivyo kuna tips nyingi tu za mke na mume kusherehekea raha ya mapenzi hata hivyo kwa leo tuishie hapa.

mama mia, what is your position kuhusu oral sex? you as a christian unayewapa ushauri watu wengi humu ndani, according to the Holy Bible msimamo wako ni upi? naomba nijibu hili swali. angalia bold nyekundu niliyokuwekea.
 
Mtumishi
nafikiri wajibu wangu nikiwa kwenye ndoa kutoa msaada kwa wenye ndoa popote pale
nikiwa kama mtumishi sijakosea kuwaelimisha ni dhambi kutompa mwenzio haki yako
imeandikwa so tukijua tatizo atuna budi kuelimishana hata kama ni kwa hela
wengine wananunua masomo kama haya m nayapata kwa mpendwa anagawa bure ufurahii
haya mpendwa pole kwa kuukuuzi

mama mia, wewe ni mtumishi? Roho wa Mungu amekuongoza kuaongea haya hapa? samahani kuuliza. pengine utakuwa mchungaji.
 
Take it rude boy!
 
Last edited by a moderator:
kama unaweza kulala na mwanamke kiutanda kimoja tena
uchi bila kudoo kwanza ni zambi kudoo kabla ya ndoa pili
utakua unamtafuta mwenzio ubaya kama si maneno:target:
 
Lazima akitoka kwako kesho yake anaweza hata kutoa kwa kichaa kwa sababu mkali utakuwa umempanda kinoma. Na ukizingatia kuwa siku hizi wanawake ndo wanaongoza kwa kutongoza zaidi ya wanaume (hasa wasomi). kwa kweli utajutia nafisi yako.

MAMA MIA BIG UP SANA, KUNA RAFIKI YANGU ALIANZA KAZI HIYO YA KUNYONYA KISIMI AKIWA NINE YEARS, SASA HIZI ANA EXPERIENCE YA 30 YEARS. NA KILAATAKAYEMNYONYA LAZIMA AZIMIE KWA MUDA.
 
Back
Top Bottom