Kulala bungeni kwaanza, wiki moja tu...

Kwani ukijisikia usingizi hauruhusiwi kutoka,huyu si L.....................M..............wa viti maalum
Night alikuwa bize na ansadi za bunge no wonder akawa anasinzia
 
Back to human senses! Hilo la Mrema kidogo umepotoka. Ana matatizo ya ki-afya na huwa tunatoa pole badala ya kushangilia.

Kweli mkuu, i myself la Mrema inaniuma saana in one side ila nashindwa kujizuia kucheka i don't know why.. na sicheki kwa kushangilia ila yaani nina huruma sana + unintentional laugh at once, when i look the pic.
 
As usual tukisema kuna list kibao ya kulala bungeni some don't believe.

Juzi tu bunge limeanza huyu kaanza na kukoroma, one day mtu atatia aibu kwa kuota, au ku diffuse/pollute hewa bungeni, wait, mbunge must be active especially ndani ya jengo, then ukitoka kalale, take a look

kusinzia-1.jpg



At least huyu mzee hapa chini kaegemea ukuta asianguke anawakumbuka waliomchagua kwa SMS, ila alivyo disintegrate...mmmhhh, hiyo simu ilivyoshikwa aaalaaahh Mzee wa kiraracha vp? namombea msamaha kwa kuitwa CCM, bcoz of his health
lala salama , afadhali Mrema anawadipu wapiga kura wake
 
Jimama la wapi hil?
Mapema namna hii?...Semina ni muhimu sana kwa hawa viumbe!
Hivi Bunge la Kenya mtu anaweza kupata amani ya kusinzia kiasi hicho?..
Halafu huyo jirani yake ananyonya kidole tu wala hamstui mwenzie kuwa anadhalilika mbele ya watanzania wote!
Shiiiit!
 
Back
Top Bottom