Kula usingizini..

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Nimetatizwa siku moja na inabidi niulize; hivi mtu anaweza kula huku amelala? Maana nasikia wengine wanaweza kukurupuka usingizini wakapika na kula na kurudi kulala! Wengine hata kukumbuka kuwa walikula hawakumbuki ila wanajua wameshiba! Au wanaacha ushahidi mkubwa kwamba "chakula kilikuwepo". Je ni vizuri kula usingizini? au kusubiri mwenzio yuko usingizini halafu unakula na unajua kuwa hatokumbuka kuwa mlikuwa mle pamoja, wewe unajilia halafu huyo unaendelea kuuchapa usingizi!
 
hahahaha!
babu hiyo sio nzuri sana:D:D:D
mambo ya pombe haya.mtu anaingia home usiku wa manane mwenzie kalala fofofo ANAMUAMSHA....''we mama nanihii...!lol:D:D
 
sasa mzee utakulaje wakati mwenzio yupo usingizini? au atakuwa amepiga piriton kabla ya kulala?
 
miye sijui bwana.. siku moja enzi za ujana wangu niliachiwa tu ushahidi kuwa chakula kishaliwa na vyombo vimeoshwa nilipouliza mbona sikukaribishwa sijibiwi mtu anasema alikuwa na njaa tu!
 
Nimetatizwa siku moja na inabidi niulize; hivi mtu anaweza kula huku amelala? Maana nasikia wengine wanaweza kukurupuka usingizini wakapika na kula na kurudi kulala! Wengine hata kukumbuka kuwa walikula hawakumbuki ila wanajua wameshiba! Au wanaacha ushahidi mkubwa kwamba "chakula kilikuwepo". Je ni vizuri kula usingizini? au kusubiri mwenzio yuko usingizini halafu unakula na unajua kuwa hatokumbuka kuwa mlikuwa mle pamoja, wewe unajilia halafu huyo unaendelea kuuchapa usingizi!

:D:D:D ...wewe kweli Jungu kuu! ha ha ha...duh!!
Anyway, inategemeana na midadi ya mtu.

Wengine 'huwalewesha' wenzao almuradi tu atimize ulafi wake, haswa wale waliowahi kunyimwa mlo awali...

hivi mtu anaweza kula huku amelala? Maana nasikia wengine wanaweza kukurupuka usingizini wakapika na kula na kurudi kulala!
hehehehehehehe!
 
unajua tatizo ni haya mambo ya pombe na kurudi late,wakati mwingine jeuri ya wamama kususa inabidi ujisevie mwenyewe,wakati mwingine hata ukiamsha upate huduma hakuna,unajisevia unaota kama umelala vile isipokuwa huwezi kushiba na unaweza kula na mapepo
 
miye sijui bwana.. siku moja enzi za ujana wangu niliachiwa tu ushahidi kuwa chakula kishaliwa na vyombo vimeoshwa nilipouliza mbona sikukaribishwa sijibiwi mtu anasema alikuwa na njaa tu!

Huo usingizi unakuwa umerogwa au? Mbona ni hatari sana kama unaweza lala namna hiyo mpaka watu wanakula bila wewe kujitambua mh wanitia shaka mzee
 
.........Hii kali hivi kweli mtu unaweza kula huku umelala? Mie siwezi kula huku nimelala, hata kama tuna njaa nafuu tulale kwanza ili ukiamka utajisikia fresh zaidi kula chakula.
 
Kuja kushtuka 'vyombo' shaghala baghala, mahanjumat yameliwa sa ngapi, bila bila, LOL!! Kweli yanatokea babu
 
.........Hii kali hivi kweli mtu unaweza kula huku umelala? Mie siwezi kula huku nimelala, hata kama tuna njaa nafuu tulale kwanza ili ukiamka utajisikia fresh zaidi kula chakula.
Mdada,unaweza pata usingizi ukiwa na njaa?Hakyanani kama kweli njaa imekolea usingizi utausikia kwenye bomba.Nakumbuka enzi zile nilikuwa nasoma chuo kimoja hapo katikati ya jiji la Dar mambo ya madisco ya vyuo tulirudi silver sands enzi zile saa nane na njaa zetu hatukupata usingizi,tukalazimika kwenda Ushirika disco theque enzi hizzo tulipopata kula tukarudi kulala, tehe tehe tehe tehe! siwezi rudia tena kweli ujana maji ya moto...cha msingi unaweza kula usingizini tena hata sahani mbili inategemea njaa yako,labda sijui vyombo utaosha?
 
Huo usingizi unakuwa umerogwa au? Mbona ni hatari sana kama unaweza lala namna hiyo mpaka watu wanakula bila wewe kujitambua mh wanitia shaka mzee

Si ndo maana mi nkamwuliza kama anakuwa amemeza piriton? maana sasa huo usingizi unakuwa balaa. lol!
 
Sasa anayekula ni nani na anayeliwa ni nani hapa manake naona hata hawa wenzetu wanazungumzia kula tuuu ikoje hii nani anayeliwa hapa (I mean who is msosi and who is the diner)
 
Mkuu, hii labda ni sawa ni ile ya somnambulism au kwa jina lingine sleepwalking. Ni sleep disorder ambayo ipo kwenye kundi la parasomnia family na ipo common zaidi kwa watoto.

Kuna jamaa mmoja wa Arizona mwaka wa 1981 yeye alikuwa na sleeping murder!! Jamaa alichinja mke wake Elena, with a kitchen knife. She was stabbed 26 times.

Steinberg (Mume Mtu mwenye kaugonjwa ka ajabu) acknowledged the murder, claimed he did it while sleepwalking, and therefore was not sane at the time. Dr. Martin Blinder, a California psychiatrist, testified that the murder was committed under a scenario of "dissociative reaction," when Steinberg stabbed repeatedly stabbed his wife.

Steinberg was found innocent by the jury, on the ground he was temporarily insane when he killed his wife. He walked away a free man.

Sheria bana, kaazi kweli kweli.

Kumbe watu wakiwa wamelala wanakuwa temporarily insane!!!
 
Kuna rafiki yangu aliota ana njaa akaenda kula chakula hotelini (si nyumbani), kuamka akakuta vyombo vichafu and he had a lot to explain to his dear wifey!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom