Kula ndotoni...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?

Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)
 
Zipo sababu mbalimbali za kula ndotoni....mojawapo niliowahi kusikia ni kutoka kwa wachawi kwamba wao huwalisha watu ndotoni ili kuwaroga......huwalisha hata nyama za watu nk. Kwa kundi hili lengo lao sio wanaowalisha WASHIBE
Ni vema kuwa mtu wa ibada ili kuepuka mipango na hila hii mbovu ya kipepo

mix with yours
 
unaamini ktk uchawi????????/
 
mama watoto kaota ametafuna usiku kucha ila akawa anatema. Nimemwambia akemee amegoma.
Wanawake wetu hawa, wakiambiwa wanaweza basi wanaona wanaweza hata kutuwezesha
 
mwanakikiji, mimi sidhani kama ukiota unakula asubuhi unakua umeshiba, kwaufahamu wangu najua mambo unayoyaona kwenye ndoto yanatengenezwa na ubongo wako tu. Ila kuna cases watu wanaota huku wanafanya kitendo kweli mfano, anatembea, anaongea lakini yuko ndotoni
 
Sio ishara nzuri kiimani! Ukishtuka inabidi kusali na kukemea!!
 
Lengo la kulishwa ndotoni si ili ushibe ila ni mpango wa shetani kuingizwa kwenye maagano bila kujua. unahitajika maomb
 
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?

Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)

- Huku MMU mnatafsiri vipi
1. kula?
2. Kushiba?

- Hata kama siyo ndotoni unaweza usishibe
 
Unataka kutuambia CHADEMA wameota wameshiba ndotoni na kuamka kumbe bado wapo na njaa yao??????????????
 
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?

Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)

Mmh! Mwanakijiji tafakuri yako sometimes ngumu. Nionavyo mimi ni kwamba ukila ndotoni uamkapo kuna haja ya kutafuta halisia coz ndoto ndio kielelezo cha mawazo yetu!
 
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?

Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)
Heeheeheee! Wewe Mzee kasheshe tupu... Kuna 'ule mlo ule', unaamka umechangamka sana, hasa ukiwa umeota unakula 'chakula' chenye mvuto!! Ila ukishaamka sasa unatamani 'ukipate' kiuhalisia..
 
Kula "ndotoni kwenye MMU"...
Inaashiria una hamu na huna pa kushibia so unashibia ndotoni!

Tafuta pa kushibia mchana lol.
 
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?

Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)

...lol, mambo ya kuacha "udenda" hayo kwenye shuka...
huwezi kuota unakula, unless ulilala na "njaa!"...utaamkaje, inategemeana na
upatikanaji wa mlo...ndoto ya aliye keko sio sawa na aliyelala na mama chanja wake...
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom