Kula majani kwa wananchi ni lazma sasa!

peacebm

Member
Jan 31, 2010
57
9
Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu

ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo zinaleta bill

kubwa kwenye matumizi ya hizi mbayuwayus, natumaini yatupasa sasa hivi tule majani

ili tuchimbe bwawa la kisasa la kuzalisha umeme ili tusiendelee kudanganywa na MEGA------WHAT?

Wakati umefika na bwawa tulisimamie wenyewe nashauri kodi ya kichwa iletwe kufanikisha zoezi

hili kwasababu kodi tunayochajiwa sasa ivi kutoka kwenye manunuzi ya sembe, soda, sukari,.......hatuzioni kuchangia maendeleo
naomba kuwasilisha.,





















 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom