Kula chakula huku umesimama....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Wadau mm nimezoea kula chakula huku nimesimama (breakfast,lunch, dinner)..

Sipendi kabisa kukaa....Kuna madhara yoyote?? Your advice plz
MziziMkavu karibu utoe uganga wako
 
Last edited by a moderator:

Kila kitu kina heshima yake na kila kiungo cha mwili wa binadamu Mwenyeezi Mungu kakipangia kazi yake Haipendezi kabisa kula chakula huku umesimama. Ni sawasawa Mtu anayekula chakula huku anautumia Mkono wake wa kushoto kulia chakula wakati mkono wake wa kulia ni mzima kabisa pia haipendezi kabisa. mkuu Boflo Tumia akili yako .
 
Kama issue ya heshima....Bora niendelee tu.....Kungekuwa na madhara ningeaza mkakati wa kuacha

Asante MziziMkavu kwa kunitoa wac
 
Last edited by a moderator:
tafuta mke uoe..ukshakuwa na familia tabia yako ya kula umesimama itakoma....imagine una mke na watoto afu unatengewa msosi mezani wenzio wamekaa we unakula umesimama hata mwanao wa kindergaten atashindwa kukushangaa..
 
ww umingia restaurants za Nairobi? wale wote wanaosimama huku wanakula hawana wake????
 
Boflo, sasa kwanini ule umesimama kwani una bawasiri....ooh mimi nakwambia punguza huo mchezo labda madhara yake hayo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom