Kula 'chakula cha kikubwa' mara kwa mara kunaweza kuleta madhara katika uzazi?

Me sikubaliani na wewe hapo juu. Unajua kuna msemo usemao, unaweza kupika maini ya ng'ombe mzee, yakawa matamu kama ya ng'ombe kijana. Tatizo sio maini yamezeeka, ni mapishi yako.

Wako watu wanaowachoka wenza wao ndani ya mwezi tu, wengine mwaka, wengine miaka 10+, etc, ni mapishi yako tu.

Kadiri mnavyozeeka, ndivyo unavyobadili mapishi yako kulingana na wakati.
Huko ndiko kuja kuombana TIGO na ndo utakuwa mwisho wa mapenzi yenu.
 
Back
Top Bottom