katelero
JF-Expert Member
- May 31, 2010
- 529
- 83
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
mimi nazini na mwanaume, pia sina akili?
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Achana na mambo ya kula chakula cha wakubwa wakati bado huna mpango wa kuoa, jipange kwanza kimaisha mkuu haya mambo yapo tu!
Mojawapo ya madhara ni huo uchovu!
me pia nimeshangazwa na hawa great thinkers! Mwenzenu amesema ameoa, watu wanasema anazini. Nani kasema miaka 24 ni mtoto mdogo? Anaweza kuwa mdogo sana kiumri kwako, lakini ni mtu mzima mwenye akili zake!
Kama mtu ameuliza swali, jibu, sio kuwa off point. Me mbona mama yangu aliolewa na miaka 20? Ni mpango wa maisha tu. Wale wanaosema asihangaike na mapenzi, akazane na elimu, kwani yeye amesema hasomi? Tuache kupayuka.
Watu tunadhani kuwa ukubwa wa umri ndio umezo wa kufikiria. Kama ingelikua ni kweli, basi msamiati wa kubwa jinga usingekuwepo.
Kwa upande wangu, pape ameonyesha uwezo mzuri tu wa kufikiri, kuliko wengi tu waliotupa madongo bila kuelewa wanajibu nini.
Bottom line:
Hakuna madhara ya kiafya, ladba kama yatasababishwa na matatizo mengine nje ya hapo. Kama ni mkeo mridhishe, achana nao hao wanaopayuka. Na kama unaona hauko katika nafasi ya kuwa na mtoto sasa hivi, ni vyema usubiri.
I like it, umeonyesha una plan ya maisha.
Hiyo kauli yako hapo kwenye red hai-prove chochote labda ungepiga mGPA wa 5.0 ningekuelewa.Kwanza nakupongeza umeoa ,nashangaa wanao toa comment za ww kuzini.
Pili kama unapiga mzigo namna hiyo wewe piga tu simamamia kwa vidole gumba vya miguu kama vp,asikudanganye mtu huu ndio muda wako na kwa memories hivi mtakumbushana milele,haina madhara wala nn mimi nilikuwa napiga mzigo kama wako na wife tena nilikuwa 23yrs mpaka 27yrs naona speed inapungua kutokana na majukumu kutokuwa na muda wa kutosha na pia mawazo ya kuendeleza familia-watoto.
So kama kichwa chako hakina mambo mengi muda huu ndio wakati wa kuendeleza hilo libeneke ,majungu yakikuzidi mbeleni na kama hayo ya watoto n.k you might be sorry.
Wanao kwambia usome sijuhi wamejuaje mipango yakk kama unasoma bado sidhani kama haribu masomo yako zaidi ya kukufanya kichwa kiwe fresh zaidi.Naseme hivi kutoka mfano wangu mimi wakati nikipiga machine kibingwa mwanzo mwisho pia nilikuwa chuo na matokeo GPA 3.6 not bad.
Piga mzigo kibingwa ukija kupunguza kasi mbeleni wote mtaema "there was a time where we fiested like no tomorrow "and those memmories 'll make you live.
Mambo yako yakienda vizuri uje wewe na mkeo na kuku wawili wa blue na mayai mawili meusi na ze muuuuuuuuuuula!........................lol!Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nimeoa! Ninampango wa kuzaa baada ya miaka 6 kama mambo yakienda vizuri.
Hakuna madhara yoyote kiafya badala yake ina manufaa makubwa sana. Chemistry ya tendo la ndoa inausaidia sana mwili kupumzika. Kama chakula kinatosha (protini) na kwa vile umri unaruhusu, endeleeni hadi mtakapoona dudu zinawaka moto.
Pia nimefurahi sana kwamba mnaanza Ijumaa jioni kwa hiyo haina madhara katika kazi zenu. Nimependa sana mpangilio wenu. Just keep it up as longer as the vigour is sustained! Hapo mkuu unaweza kujipa uhakika wa ndoa yenye mavuvuzela kidogo kwa hiyo miaka 6. Wife ataanzia wapi kulipuza wakati yuko hoi?
Hakuna madhara yeyote rafkyangu, kula mzigo tu. Fanya na vi-stretching kidogo misuli iachie. Ikiwezekana mfundishane massage muwe mnafanyiana. Kula raha kaka, ndio ndoa yenyewe. Achana na wanaotoka off point
Au chakula kikubwa ulikua na maana nyingine. Mtu wa bara mimi kiswahili sijui vema
tunaozini ni kama mimi tusiokuwa na ndoa, lakini pape kaoa,ameruhusiwa kabisa na wazazi,mungu wake na jamii nzima kumega kwa jinsi anavyotaka yeyd
Kwanza nakupongeza umeoa ,nashangaa wanao toa comment za ww kuzini.
Pili kama unapiga mzigo namna hiyo wewe piga tu simamamia kwa vidole gumba vya miguu kama vp,asikudanganye mtu huu ndio muda wako na kwa memories hivi mtakumbushana milele,haina madhara wala nn mimi nilikuwa napiga mzigo kama wako na wife tena nilikuwa 23yrs mpaka 27yrs naona speed inapungua kutokana na majukumu kutokuwa na muda wa kutosha na pia mawazo ya kuendeleza familia-watoto.
So kama kichwa chako hakina mambo mengi muda huu ndio wakati wa kuendeleza hilo libeneke ,majungu yakikuzidi mbeleni na kama hayo ya watoto n.k you might be sorry.
Wanao kwambia usome sijuhi wamejuaje mipango yakk kama unasoma bado sidhani kama haribu masomo yako zaidi ya kukufanya kichwa kiwe fresh zaidi.Naseme hivi kutoka mfano wangu mimi wakati nikipiga machine kibingwa mwanzo mwisho pia nilikuwa chuo na matokeo GPA 3.6 not bad.
Piga mzigo kibingwa ukija kupunguza kasi mbeleni wote mtaema "there was a time where we fiested like no tomorrow "and those memmories 'll make you live.
Wakuu nimewapata vilivyo!:yield:Hakuna madhara yoyote kiafya badala yake ina manufaa makubwa sana. Chemistry ya tendo la ndoa inausaidia sana mwili kupumzika. Kama chakula kinatosha (protini) na kwa vile umri unaruhusu, endeleeni hadi mtakapoona dudu zinawaka moto.
Pia nimefurahi sana kwamba mnaanza Ijumaa jioni kwa hiyo haina madhara katika kazi zenu. Nimependa sana mpangilio wenu. Just keep it up as longer as the vigour is sustained! Hapo mkuu unaweza kujipa uhakika wa ndoa yenye mavuvuzela kidogo kwa hiyo miaka 6. Wife ataanzia wapi kulipuza wakati yuko hoi?
kila jambo mkuu lina utaratibu wake! Usikurupuke!Hakuna kulala. Sex kila siku kuanzia ijumaa. hamchoki? nadhani mtakuja chokana mapema sana.
Sijakuelewa!Mambo yako yakienda vizuri uje wewe na mkeo na kuku wawili wa blue na mayai mawili meusi na ze muuuuuuuuuuula!........................lol!
Hakuna kulala. Sex kila siku kuanzia ijumaa. hamchoki? nadhani mtakuja chokana mapema sana.
Aftakala hamdulikahii!!!!!!!!!!!!!! Balaaaaaaaaaaaaaaaa:bowl::bowl::bowl:
Hiyo kauli yako hapo kwenye red hai-prove chochote labda ungepiga mGPA wa 5.0 ningekuelewa.
Kuzini ni nini?:smile: