Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
:whoo:Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nimeoa! Ninampango wa kuzaa baada ya miaka 6 kama mambo yakienda vizuri. Mke wangu ana umri wa miaka 21 na tumekuwa tukila 'chakula cha wakubwa' mara kwa mara. Tunaweza tukala kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili. Ikifika jumapili wote tupo 'hoi'. Napenda kufahamu kama kuna madhara yoyote ambayo yanaweza kutokea hapo baadae (baada ya miaka 6 mimi nitakuwa na miaka 30 na yeye atakuwa na miaka 27) kama vile kukosa kupata watoto! Nategemea msaada wenu! Shemeji yenu/wifi yenu ananitengua kiuno!! Hachoki!