ni memo!ndo kitu gani hii sasa!!!
ndo kitu gani hii sasa!!!
asante sana MEMO umeuona upupu huu na wewe, watu badala walete uzi wa joke wanapost vyovyote wapendavyo, hasa exccelent anaudhi huyu!!!!!!!!!
memo, shomshalo na wewe halmashauri zenu za kichwa hazifanyi kazi vizuriasante sana MEMO umeuona upupu huu na wewe, watu badala walete uzi wa joke wanapost vyovyote wapendavyo, hasa exccelent anaudhi huyu!!!w!!!!!!
Who is EXCCELENT?simfahamu mtu huyu! Ila kuna jamaa anaitwa EXCELLENT ndo namfahamu.mkuu huyo EXCCELENT ni member mpya huku JF?
Who is EXCCELENT?simfahamu mtu huyu! Ila kuna jamaa anaitwa EXCELLENT ndo namfahamu.